nguvu za kiume

  1. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Nilipooa suala la upungufu wa nguvu za kiume nalisikia tu kwenye radio

    Wakuu, Hofu ilikuwa imetanda ktk maisha yangu ,kila nikikutana na dada wa watu naishia dk 10 namaliza na matokeo yake ananiambia nimemchafua Hakika nilidhani Nina upungufu wa nguvu za kiume,nilipanga kuwaambia wazazi nyumbani waanze kunitibisha lakini nafsi ilikataa katakata 🏃 Baada ya kuoa...
  2. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: Nguvu za kiume kupotea rasmi April 2025

    Kwa mujibu wa moja ya manibii muhimu na wakuaminika hapo daslam, ni kuwa kuanzia mwezi huu wanne wanaume wengi watapoteza nguvu za KIUME na makende kusinyaa. Nabii ametoa wito kwa wanawake kuwavumilia waume zao sababu Hali hiyo ya ugoigoi itawakumba hata hao wanaowafikiria kwenda kuchepuka nao
  3. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

    Iko hivi! Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa. Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Njia za kiasili za kuongeza nguvu za kiume ni zipi?

    Usihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi. Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
  5. Captain said

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mwanaume hayahitaji nguvu za kiume

    Inaweza kuwa ngumu sana kuamini na kuilewa hii kwa wanaume, ila leo tumia macho yako kusoma thread hii...... Tumezaliwa katika kizazi ambacho kilichojitenga na maadili mema ya kijamii ambapo mambo mabaya, ushetani, uongo yamegeuzwa kuwa haki na dunia huyaabudu hayo, nije kwenye point...
  6. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha unafanya dawa za nguvu za kiume zinauzwa hadharani kama pipi zama hizi

    Vijana hawajali tena maana njaa sasa imewafika pabaya. Zamani vitu kama hivi viliuzwa kwa usiri na ukimya ila sasa hivi vijana wakiangalia tabu hii ukiunganisha na stress walizonazo wanaona acha niropoke tu hata kama nisiporopoka njaa haiwezi badirika. MAPAMBANO YAENDELEE
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini nguvu za kiume wanaziita "Umeme"makanisani

    Umewahi kujiulixa hili Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze nguvu za ....kama una shida hioo kimbilia fasta MBELE ukaombeweee Badoo nawaza Hivi ilikuwaje...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

    Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume. Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
  9. PSL god

    JamiiForums Tanzania Hakuna faida ya kuwa tajiri kama hana nguvu za kiume

    Za jioni, Well kuna kamsemo kanasema kuwa starehe ya masikini ni ngono. Well napingana na hiyo kauli kwa 100% mimi naamini kuwa wanaume wengi duniani kama sio wote tunapenda SEX kuliko chochote kile. Hivyo huo msemo ilibidi uwe "starehe ya wanaume ni ngono" Ndio maana 1. wanaume tunanunua...
  10. Candela

    JamiiForums Tanzania Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

    Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi. Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, matumizi ya Ajinamoto kuongeza Ladha kwenye chakula kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa. Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
  12. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya nguvu za kiume, PMS, saikolojia, Sanaa ya mapenzi, lishe na mitishamba. Too deep

    https://youtu.be/Fh1P-A3RQbg?si=tEi8cxUnz1rTIuQe
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume limepungua nchini?

    Kuna wakati kulikuwa na kelele nyingi sana na matangazo kila kona kuhusu tatizo la nguvu za kiume na tiba mbalimbali za kuongeza nguvu za kiume. Sasa hivi ni kama harakati za kutafuta nguvu za kiume zimefifia sana, hazisikiki kelele nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari au mitandao kuhusu...
  14. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Siri ilioko nyuma ya pazia juu ya nguvu za kiume

    Habari, nimeona nireje MAELEZO niliyowahi kuyatoa kwenye Moja ya Uzi niliyowahi kuchangia bàada yakupata PM na calls kutokana kwa wanaJF wengi wakihitaji ufafanuzi na msaada wakimatibabu juu ya hili na wengi wamepata ufumbuzi wa elimu na tiba juu ya hili. Nimerejea ili tujadili kwa pamoja kwa...
  15. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Hebu naomba niweke jambo Moja bayana: PUNYETO HAIPUNGUZI NGUVU ZA KIUME

    May all souls find enlightenment, Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natumia uungwana, huna tatizo la nguvu za kiume, ni mwoga.

    Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF? Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha. Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kukosa nguvu za kiume

    Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona aibu kwa mtubwangu
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wacha niwafundishe dawa bora kabisa ya nguvu za kiume (Dawa namba moja ya nguvu za kiume)

    Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume. Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Joto la Dar kizuizi cha ongezeko la watu

    Idadi ya watu kuongezeka inapelekea kukutana na kashikashi zitokanazo na Joto la Dar kwa sababu linapunguza NGUVU za KIUME kwa maana ya kukosesha hamu ya kufanya mapenzi na hivyo kupelekea tendo la ndoa kuwa lenye kukosa Radha na hivyo kutishia uwajibikaji wa kufanya Hilo tendo lenye malengo...
Back
Top Bottom