Hospitali kwa ajili ya matatizo ya nguvu za kiume

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,553
7,848
Naomba kupata muongozo, ni spitali gani naweza kwenda hapa Dar kwa ajili kuanza taratibu za tiba kwa ajili ya tatizo la nguvu za kiume.
 
Nguvu za kiume Kwa maana gani ...

Una low sperm hazitungi Mimba .?

Hauwezi kusimamisha ume vzuri unasimama Kwa kulegalega .?

Ume unasimama lakin kwenye tendo unadumu ndani ya dakika 2.?

Wewe uko kundi gani

Tuanzie hapo ...
 
Naomba kupata muongozo, ni spitali gani naweza kwenda hapa Dar kwa ajili kuanza taratibu za tiba kwa ajili ya tatizo la nguvu za kiume.

Hii vitamin inasaidia kufungua mishipa ya damu ambayo mara nyingi ndiyo tatizo. Uzuri wake ni vitamins tu lakini inasaidia sana

1695759992907.png

Mega We Care Ginsomin Korean Panax Ginseng Extract Plus Multivitamin and Mineral Dietary Supplement Product (Packing 3 x 10 Softgel Capsules) for Fatigue and Stress​

Attachments

  • 165E845D-50BC-4A06-A048-ADF94861C5B4.jpeg
    165E845D-50BC-4A06-A048-ADF94861C5B4.jpeg
    60.1 KB · Views: 2
Nguvu za kiume Kwa maana gani ...

Una low sperm hazitungi Mimba .?

Hauwezi kusimamisha ume vzuri unasimama Kwa kulegalega .?

Ume unasimama lakin kwenye tendo unadumu ndani ya dakika 2.?

Wewe uko kundi gani

Tuanzie hapo ...
Maswali mazuri
 
yote hayo mkuu.

Unasimama legelege
Nawahi kukojoa ndani ya sekunde kadhaa max 20
Na mimba pia ni tatizo.
 
Hii vitamin inasaidia kufungua mishipa ya damu ambayo mara nyingi ndiyo tatizo. Uzuri wake ni vitamins tu lakini inasaidia sana

View attachment 2763413

Mega We Care Ginsomin Korean Panax Ginseng Extract Plus Multivitamin and Mineral Dietary Supplement Product (Packing 3 x 10 Softgel Capsules) for Fatigue and Stress​

hii nimejaribu kutumia mkuu, sikupata mabadiliko yoyote
 
Siougonjwa huo mzeeni hali ya kuzalisha hormon au kushindwa kuzalisha au kyzalisha na kushindwa kusafirisha nichek 0712505049 andaa 20 tu nikupe formula ya kujitibu kwa matunda tu au maji ya uvuguvugu na ushuuda upo waliopona
 
dah Hospital nayo imeniacha mkono, nimeambiwa nipo powa sina tatizo lolote baada ya kufanya vipimo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom