Je, hili tatizo langu pia ni suala la nguvu za kiume? Nakosa nguvu

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
837
1,550
Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5. Jambo hili huingilia ufanyaji kazi wangu kabisa na kufanya nishindwe kufanya kazi.

Nimepima sukari na pressure naambiwa ziko kawaida kabisa. Mke anadhani labda nachepuka lakini ni kuwa huwa kuna muda sitaki kushiriki hasa nikijua kuna kazi mbeleni natakiwa kuifanikisha, nifanyeje?
 
Fanya mazoezi bro....unaonekana ww nh mvivu 2...kwanza umechek BMI?
 
Mkeo anaonekana fundi Sana halafu amekuzidi umri, uzoefu, maarifa ya kingono na ujuzi.
 
Back
Top Bottom