Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloathiri wanaume wengi, mara nyingi bila wao kujua, hadi pale hali inapokuwa mbaya na kuanza kuathiri heshima na furaha ya ndoa. Kupitia dalili hizi, unaweza kutambua mapema ishara za tatizo hili na kuchukua hatua kabla halijawa sugu. Soma kwa makini hadi...
Siku hizi kila kona mitaani, mitandaoni na hata makazini, kila mtu anajua “dawa” fulani ya kuongeza nguvu za kiume. Lakini cha kushangaza, kadri muda unavyosonga, ndivyo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linavyozidi kuongezeka. Fikiria mara mbili kabla ya kuamini kila tangazo unaloona.
Sisi...
Tafiti zimeonyesha kuwa asilimia 49 ya wanaume wenye umri wa miaka 40–79 wenye shinikizo la juu la damu wanakumbwa na upungufu wa nguvu za kiume. Kwa ujumla, asilimia 65 ya wanaume wenye tatizo hili hupoteza angalau sehemu ya uwezo wao wa kijinsia, huku asilimia 45 wakikumbwa na hali mbaya...
Wakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa...
Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
Kisukari na Nguvu za Kiume
Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
Kirusi kinachonyonya nguvu za kiume kwa vijana
Kijana unapopiga nyeto—hili jini ndo unalimwagia mbegu zako😆
Linanyonya nguvu zako kwa kasi ya 5G😆 vijana wekeni hii picha kwa simu zenu, ili kabla ya kufanya huo mchezo mnaliangalia kwanza —labda mtaacha🤔
1. Sababu za Kisaikolojia (70%)
Wasiwasi na Hofu (Anxiety): Hofu ya kumridhisha mpenzi wako au mashaka kuhusu uwezo wako wa kudumu wakati wa tendo la ndoa hupelekea kumaliza mapema.
Msongo wa Mawazo (Stress): Shida za kifedha, kazi au familia huathiri sana uwezo wako wa kudumu kitandani.
Aibu...
Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:-
i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi;
ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na
iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume.
Utangulizi:
Nilihamasika kuanzisha...
dume
hii
kati
kiume
kuendelea
kuongezeka
kwa wanaume
mada
miaka
miaka 50
nguvunguvuzakiume
tezi dume
uhusiano
ukosefu
umri
wanaume
wenye
wenye umri
zakiumezaidi ya
KWA siku mwanaume anaangalia maeneo nyeti ya mwanamke yaliyofunikwa nusu au robotatu zaidi ya mara mia.
Ofisini
Barabarani
Biasharani
Kanisani
Kwenye usafiri
Pia social media adds na reel/shorts automatic suggestions ( hata kama hufuatililii utawekewa kamoja) zinavyonza morali ya mwanaume KWA...
Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
Wakuu hebu kwanza tuachane na mambo ya Chaumma tuongee Ishu nyeti kama wanaume !
Mara kadhaa nimekuwa nikisia na kuona baadhi ya wanaume hasa mitandaoni wakilala Mika ya kwamba,wanapokuwa kwenye mizagamuano baada ya bao la kwanza tu mzee Ramadhani mpiga chafya hulala kabisa huku wakivuta pumzi...
Achaneni na upotoshaji mwingi sana mitandaoni na vijiweni kuhusu shida ya tatizo la nguvu za kijinsia.
Suluhisho la uhakika na la kipekee sana kuponya na kumaliza kabisa tatizo lako la nguvu za kijinsia, ni kula chakula bora na matunda safi ya kutosha, kunywa maji safi na maziwa ya kutosha...
Habari zenu wapendwa, Naomba niwape Siri hii "fahamu vyakula ambayo ukivila vitakuongezea uzalishwaji wa testosterone hormone, estrogen levels na kuwa catalyst ya uzalishwaji wa hormones nyingine za uzazi kwa wanaume na wanawake. Hivyo kuwe kuondoa uwezekano wa upungufu wa nguvu wanazoziita za...
Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.
Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume.
Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa...
Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda.
Facts:
1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa sababu ya oksideni nyingi (oxidative stress). Pera lina vitamins C mara nne zaidi ya chungwa.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.