D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,987 Jan 19, 2024 #1 Pale unapopenda na kujenga taswira katika ubongo kisha unaenda kukuta ulichofikiria sio!
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,590 Reaction score 11,846 Jan 19, 2024 #2 Huo ni utapeli wa mapenzi
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,711 Reaction score 24,489 Jan 19, 2024 #3 Vita ni vita
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,226 Jan 19, 2024 #4 Huo ni wizi kama wizi Mwingine.....tatizo hatutaki kujikubali aisee
kapyoko JF-Expert Member Joined May 10, 2022 Posts 1,429 Reaction score 2,202 Jan 19, 2024 #5 Wanawake wembamba watamu saana aisee,kwanza una mkunja unavotaka wewe Ila hao wenye minyama kila baada ya dk 10 lazima aombe cooling break
Wanawake wembamba watamu saana aisee,kwanza una mkunja unavotaka wewe Ila hao wenye minyama kila baada ya dk 10 lazima aombe cooling break
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,795 Reaction score 113,342 Jan 19, 2024 #6 Fursa, nauza hiyo minofu ya kujazia jazia uonekane una nyama.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,210 Reaction score 183,057 Jan 19, 2024 #7 Unafalije inlavu kwa mtu hata hujamuona live??? Hapo lazima akili ikukae sawa na ujifunze cc Smart911
Unafalije inlavu kwa mtu hata hujamuona live??? Hapo lazima akili ikukae sawa na ujifunze cc Smart911