nguvu za kiume

  1. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje kupata mshindo wa nguvu kama ule wa siku ya kwanza?

    Nikiwa na miaka 16 nilipopata mshindo mmoja mkubwa sijawai ona wala ku-experience. Ilikua ndo mara yangu ya kwanza. Nilikaribia kuzimia masikio yalifunga mwili ulizizima na msisimko mkali uliosambaa mwili mzima. Actually niliiona dunia kwa namna isiyo ya kawaida. Tangu hapo nilirudia tena na...
  2. Kapyepye Mfyambuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

    Habari wadau? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani? Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Siku hizi nchini Tanzania ukitaka tu Bidhaa yako iuzike haraka ukisema inaongeza nguvu za Kiume utauza sana?

    Kuna Matunda ambayo tokea nakua hadi hivi sasa nautafuta Uzee wangu yalikuwa yakidharaulika na hayapendwi kabisa Kuliwa na Watanzania ila cha Kushangaza Siku hizi baadhi ya Wajasiriamali ( Wafanyabiashara ) wakiyaandaa vyema, kuyaweka Sokoni na kusema ( kutangaza ) yanatibu au kuongeza Nguvu za...
  4. Clever505

    JamiiForums Tanzania Hii hali niliyonayo ndio inaitwa upungufu wa nguvu za kiume au vipi?

    Mambo vipi wakuu! Mimi ni kijana 26 aged ni mwembamba nina uzito 51kg, kuna kitu kinanitokea najikuta sielewi kabisa ufumbuzi wake naombeni ushauri wenu. Mimi sijaoa ila nina demu wangu ambaye huwa nikinyanduana naye mambo yanaenda poa tu. Tatizo ni kwamba sikai nae sehemu moja mi nipo zenji...
  5. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume vs Hamu ya tendo

    Wasalam. Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern medicine. Tatizo la nguvu la nguvu kiumbe limekuwa neno la kawaida kwa sisi wanaume hivyo kupelekea...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa TBC kutangaza dawa za kuongeza nguvu za kiume zisizothibitishwa

    Hii nimeisikia jana tu tena kwa bahati mbaya sana nikiwa kwenye gari na kwa vile kulikuwa na foleni nikaona ni vema nipate matokeo ya mechi kati ya Yanga na Kagera , nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na Tangazo la dawa za nguvu za kiume kutoka Kigogo Mbuyuni ! wanaosikiliza matangazo ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
  9. Papa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kuna matatizo mengi ya tendo la ndoa ambayo yanaathiri wanawake kwa wanaume. Kwa wanaume inawezekana ikawa ni kukosa hamu ya tendo, upungufu wa nguvu za kiume au kuwahi kufika kileleni. Leo nataka kuzungumzia ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume matatizo mengine nitazungumza katika...
  10. data

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar wana masaibu mengi yanayopelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Tusiwacheke..
  11. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumsaidia shemejio dawa za kuongeza nguvu za kiume?

    Kama kichwa kinavyoeleza. Nazungumzia Shemeji wa kiume au baba yako wa kambo aliyemuoa mama yako mzazi. Au mshikaji wako anayetoka na dada yako ukamsaidia viagra au vumbi la congo. Na wewe una dawa ya ukweli ya nguvu za kiume na unajua mtu akipiga hiyo dawa mwanamke ataona cha moto. Je...
  12. mudushi

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Ndugu zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu. Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aliyesema Waziri Ummy kafungua duka la dawa za nguvu za kiume akamatwa

    Serikali imewataka wananchi kuepuka matumizi ya dawa zinazotangazwa kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa hazijadhibitishwa ubora wake na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA). Akizungumza Jijini Dodoma mara baada ya kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Waziri wa...
  14. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu sikuwa na kitu cha msingi cha kunifanya nirudi kwangu, hasa kwa kuwa ilikuwa wikiendi, nikaamua ngoja...
  15. johnsonmgaya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

    MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- UFAFANUZI NA USHAURI ULIOTOLEWA NA WADAU Pre mature ejaculation ni nini? Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake. Tatizo hili...
Back
Top Bottom