nguo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nguo ya ndani bora kwa mwanaume

    Wakuu kwema, poleni na majukumu. Aisee nina changamoto ya fungus, nadhani zinatokana na hizi boxer ninazovaa. Humu mapajani kunasuguana mno, napata maumivu makali wakati wa kutembea. Kuna muda inabidi nitembee kama nimetoka kutahiri kumbe ni kuhofia ile friction ya mapaja hapo kati. Sasa...
  2. onike kaponko

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za watoto

    Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo kwa tanzania
  3. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Shairi: Swala la Umeme na Bunge wahenga wanasema "Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"

    Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa rudio, Mmetupunguza Bongo, mwatuchuza Hadharani. Mwatuchuza Hadharani, mmetupunguza Bongo, Wengine...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  5. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania CCM imevuliwa nguo na Makonda leo imechutama

    Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo. Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema. Leo Makonda kijana...
  6. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata nguo za Cowboy

    Jamani natamani sana hizi nguo za cowboy; Hapa Dar au Tanzania naweza kuzipata wapi full complete na kwa bei rafiki?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kukunja nguo mbalimbali

    Watanashati mpo? Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako zinakuwa katika mpangilio mzuri na hazijikunji ovyo. Jinsi ya kukunja shati Jinsi ya kukunja tisheti...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

    "Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili. Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio...
  10. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

    Wakuu heshima itawala.. Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana. Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote ile duniani Kurudia Nguo ni kutokana na Ukata wa nchi yake au ni Takwa la Mganga wa Kienyeji?

    Najiandaa kusoma tu Comments za Wandewa na Wajuvi wa Mambo hapa JamiiForums.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili Okrah ni sawa na kuweka kiraka kikuu kwenye nguo mpya!

    Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
  13. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama! Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)...
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kuwa na shule zinazofua hadi nguo za watoto, ni matokeo ya uzembe na kupenda kuiba mali za umma!

    Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko? Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii, Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake? Ataweza...
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kutoboa kwenye biashara ya nguo, lenga wanawake na watoto hapo utakuwa ume-win

    ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana? Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi? Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako, yaani pawe na muitiko mzuri wa watu. Point nguo kali ambazo ni rahisi mtu kuvutika kwa haraka...
  16. Lucha

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya kuchoma nguo zako zilizochakaa?

    Habari zenu? Wiki kadhaa zilizopita niliamua kuchambua nguo zangu zote ambazo hazivaliki baadhi zilikuwepo nzuri na baadhi zikawepo zilizochakaa sana, nikaamua kugawa zile nzuri na zile chakavu ambazo hazifai nikaamua kubaki nazo, kwasababu zilikuwa zimechakaa na zimechanika sana isingependeza...
  17. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya nguo na mavazi Kibiblia

    Utangulizi; ----------------- Ipo Tofauti Kati ya Nguo na Mavazi.. Kwa Tafsiri Ya Kiroho, sawasawa Na Ufunuo wa Roho Mtakatifu.. NGUO--- GARMENT. MAVAZI--- VESTURE. Nguo ni ile uivaayo ukiwa katika shughuli zako za; Kijamii, Uchumi na Maendeleo.... Lakini VAZI, Ni ile uivaayo ukiwa katika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ushonaji nguo

    Fundi mzuri wa kushona nguo za kiume na kike, anahitajika; akiwa ni wakike itakuwa vizuri zaidi. Malipo: 3000 kwa siku + 10% ya faida katika mauzo kwa mwezi Faida zingine: Chai ipo (free) Chakula cha mchana kipo (free) Eneo la kazi: Arusha au Moshi Kama una huo ujuzi; utakutanishwa na...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiafya, nguo ya ndani inataka kuvaliwa siku ngapi?

    Kwema Ndugu zangu, Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote. Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi, boxer, sidiria, singland socks na kadhalika zivaliwe siku ngapi kisha ubadili au kuzifanyia usafi ili...
Back
Top Bottom