Kazi ya ushonaji nguo

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,483
40,499
Fundi mzuri wa kushona nguo za kiume na kike, anahitajika; akiwa ni wakike itakuwa vizuri zaidi.

Malipo:
  • 3000 kwa siku + 10% ya faida katika mauzo kwa mwezi
Faida zingine:
  • Chai ipo (free)
  • Chakula cha mchana kipo (free)
Eneo la kazi: Arusha au Moshi

Kama una huo ujuzi; utakutanishwa na muhusika.
 
Back
Top Bottom