nguo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Uzalendo sio kuvaa nguo zilizoshonwa kwa vitenge vya bendera ya Taifa

    Watu wengi tumekuwa katika fikra ya kwamba uzalendo ni kuwa tayari kuipigania nchi yako. Huo ndio ukweli lakini uzalendo pia unaambatana na mapenzi ya dhati kwa taifa lako. Mapenzi haya ndio watanzania wengi tunayakosa yaani hatuna uchungu na Taifa letu la Tanzania pamoja na rasilimali zake...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mke wa Mtu na Mume wa Mtu wafia Mgahawani wakiwa uchi

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Swiga John Mwakalobo (35) ambaye ni Mfanyabiashara wa mgahawa pamoja na Mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Jacob Chang’a wote Wakazi wa Kata ya Mkwawa Wilaya na Mkoa wa Iringa wamekutwa wamefariki ndani katika mgahawa huku wakiwa watupu (bila nguo)...
  3. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Dar ni mji wa ajabu sana, mtu anaweza vaa nguo/viatu hazijakauka lakini zika kauka akiwa amevaaa

    Walaaaaaahiii mtumeewww 5 moko , kimoko tuuu chaliii wanaumeeee tukapiga vitano vya afyaa boraaa hahhhahahhhgh Ebana heeeeeh ndo ikawa hivyo ...mvua hii people zinavaa nguo hazijakauka na life linasongaa kibabere Karibuni kwa makasiriko...
  4. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Kuwavulia nguo wahitaji ni hatari

    Simaanishi kilichokuja kichwani mwako. Kuvua nguo kwa hapa namaanisha kutoa msaada wa mavazi ambayo wewe ulikuwa unavaa. Katika Imani za kiroho/kishirikina mavazi inaaminika Yana nafasi yake katika kuomba mabaya au mazuri kwa mtu mvaaji. Ukimpatia mhitaji halafu wenye Nia ovu waingilie kati na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Nguo za Awali mtoto mchanga

    Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu wauza nguo Ilala

    Habari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale Ilala Boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa zimekunjwa vizuri. Je zina ubora upi au kuna kaujanja wanafanya.
  7. chakutu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakaidi na waanzilishi wa fujo wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Dodoma wachoma matranka na nguo za wanafunzi wenzao

    Wakaidi hao Wanajigamba hakuna Mwalimu yeyote wala Mkuu wa Shule anayeweza kuwafanya chochote, Mpaka sasa Wanafunzi wanaendelea na Masomo. Ninachojiuliza ni hivi kama wangeunguza Mabweni ingekuwaje ? Mali zote za shule kongwe kwa kweli zingeungua pamoja na Vifaa vyao
  8. Afande Macha

    JamiiForums Tanzania Nauza bag limejaa nguo!

    Nguo jumla zipo zenyewe ni kadet zipo 4 jeans zipo 3 track suit 1 Size ya kiuoni ni 30/31 nguo zote. Nakuuzia zote na bag nakupa Bure kwa jumla 40,000 tu. location: Ubungo Kibangu nitumie SMS: 0752 565852
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa bar bila kuvaa nguo fupi, biashara haiendi?

    Hili ndio swali ambalo siku zote huwa najiuliza. Nani aliwaambia wamiliki wa bar kuwa wanaume tunaenda bar kuangalia mapaja na sio kufuata huduma bora? Na hili tutasingizia wazungu au utandawazi? Vidada vingine hata miguu na mapaja havina, ila vinalazimika tu kujianika. Pumbafu kabisa.
  11. Kelvin Bwanaly

    JamiiForums Tanzania Duka la nguo za watoto

    Habari Naomba ushauri juu ya biashara ya nguo za watoto pamoja na mazaga zaga yanayo husu watoto Nina 5 Milioni, io n pesa ya kununua mzigo tu, namaanisha mbali na kodi ya chumba Je kwa uzoefu wa wenye kuifanya hii kazi, naweza toboa au laaa!!?? Location yangu ni Tunduma
  12. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Hekima: Usitoe sana sadaka bila kujibakiza, tumia akili sana, uliza moyo wako, angalia watoto na familia, angalia nguo na viatu vyako ndio utoe sadaka

    Hapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe. Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani. Niliwahi kuona mke wa mtu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kina Mbarikiwa Mwakupesile "Tatizo Wanatuona Nyani" umezua songombingo aka patashika nguo kuchanika!

    Wana jamvi, Ni matumaini yangu wote hamjambo. Lengo la hii thread ni kuhusiana na wimbo wa washiriki wa kanisa la Mbarikiwa Mwakipesile wa kanisa la Kikosi cha Injili huko Mbeya. Kibao hiki kilicholeta shida kinaenda kwa jina "Tatizo wanatuona nyani" ambao ndani yake wamejaribu kuelezea...
  14. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme unaivua nguo Serikali

    Hakuna haja ya salamu. Unajua kuna vitu unaweza kupiga siasa, ukapiga porojo, ukatia nakshi nakshi, ukatetea nk na watu wakakuelewa. Ila inapokuja kwenye vitu ambavyo vinaonekana wazi na vinaathiri maisha ya watu MOJA KWA MOJA kunakua hakuna kiasi cha porojo, siasa, mbwembwe wala maneno matamu...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana akutwa amefariki dunia shambani huku mwili wake ukiwa hauna nguo

    Kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Emmanuel Alex, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28, amekutwa amefariki dunia shambani huku mwili wake ukiwa hauna nguo yoyote. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Orori kata ya Machame Mashariki, limezua taharuki miongoni mwa watu katika eneo hilo huku...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani. Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
  17. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema" Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
  19. BABA TUPAC

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mwanaume kulala bila nguo kabisa?

    Wakuu, Hivi mnaona ni sawa kwa mwanaume kulala bila nguo kabisa? Yaani bila hata bukta wala boxer Ikitokea dharura usiku utafanyaje? majambazi wamevamia au moto una waka. Mi naona mwanaume anatakiwa awe anavaa boxer, bukta na jeans kabisa ili kujiepusha hii itasaidia kujiepusha hatari kubwa...
  20. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

    Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe kama vichaa tu. Designers ndio kabisa, walishajiweka ku deal na nguo za men but exclusively women...
Back
Top Bottom