Kiafya, nguo ya ndani inataka kuvaliwa siku ngapi?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,170
11,572
Kwema Ndugu zangu,

Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote.

Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi, boxer, sidiria, singland socks na kadhalika zivaliwe siku ngapi kisha ubadili au kuzifanyia usafi ili kulinda usalama na afya ya maeneo yanayositiriwa na nguo izo?

Nini madhara ya kuvaa nguo hizo kwa muda mrefu bila kubadili au kuzifanyia usafi?
Asante...
 
Siku moja nguo yeye unachovaa ndani kama boxer ,soksi ,singlend.

Kila mwezi nanua boxers mpya naweza nunua hata pk mbili jumla zipo sita ,soksi ninazo kama pair 7 hivi na sio hizi za shule ni zile high quality .

Singlendi nazo ninazo saba kila siku nabadlili inaleta raha yaani unakuwa na internal peace😅😅
 
umetisha sana mukubwa 🔥💪👌
 
Back
Top Bottom