Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,028
144,382
Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake.

Sasa huku sio ndio kujimaliza?

Hii clip haiwezi kutumika kama sehemu ya ushahidi?

Kwa sauti inayosikika, itahitaji utaalamu kuithibitisha kuwa ni ya Pauline?

Je, huyu Mtuhumiwa na watu wake, hapa hajafanya kosa lingine kusambaza hiyo video yenye sura ya huyo kijana?

Anyway, labda wahusika watajitokeza kukana au kutoa maelezo kuhusu hiyo clip.

Kwa maelezo ya Martin Maranja Masese, video hiyo imepostiwa WhatsApp na yeye huku ndio alikoipata.

Labda watajitokeza kukana au kutoa ufafanuzi.

Labda watajitokeza kukana au kutoa ufafanuzi
Video tunaipata wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom