Twendeni kwenye mada baada ya Salam.
Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana.
Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze kuchomekea kitu ambacho hakitawezekana.
Sijawahi kuona mmasai au msukuma amemshambulia mtu bila kumchokoza lkn pia ni hatari sana kutembea na vitu hivyo kwa maana kwamba inaweza ikatokea sintofahamu yoyote ikapelekea kutumia hizo silaha.
Mimi sijawahi kuona hawa wamasai wa mtaani wakipeleka moto kwa hizo silaha ndio mara ya kwanza kuona kwenye ile video ya juzi labda huko mashambani kwenye matatizo yao ya kila siku ya wakulima na wafugaji.
Sasa sijui huko Pemba wenzetu wameona nini mpaka kuanza kuwazuia hawa wanautamaduni wasibebe silaha.
Sisii huku bongo tunapanda nao hadi kwenye daladala,kwenye treni ndio nyumbani kwao.
Siungi mkono huu utamaduni wao lkn inabidi wafanye kazi kuwabadilisha 'mind set' zao mpaka waelewe.vinginevyo wawaambie wahame wote.