Wapi naweza kupata nguo za Cowboy

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Jamani natamani sana hizi nguo za cowboy; Hapa Dar au Tanzania naweza kuzipata wapi full complete na kwa bei rafiki?

IMG_9509.jpeg
IMG_9510.jpeg
 
Za nini mkuu, na utazivalia wapi na joto hili,pia zina mashart hizi nguo.. Unaweza making au unatamani usichokiweza!?
Nataka kuzivaa tu; tumeweza leather tutashindwa hizo? Plus Wamarekani cowboys wapo huku chini Texas sijui wapi ambapo kuna joto sio kama kaskazini ya America
 
Karume zimejaa fwaa ushindwe wewe tu..!!
Yani hapo unachukua moja moja unaunganisha ktk kuvaa..!!
Mpk viatu vipo ila jioni ndo vingi buku 2 yako tyuuu.!!!
 
Ukishanunua hizo huko Karume uwe na uhakika wa kumiliki farasi kama ndio unavaa hivyo Kisha tunapigana vikumbo kwenye mwendo Kasi utakuwa kituko mnooo
 
Ukipata hizo nguo, nitafute nikuuzie toys za hizo pistol, halafu pia unipe deal la kukupiga picha baada ya kuwa rasmi na mwonekano wa cow boy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom