Tofauti kati ya nguo na mavazi Kibiblia

Nov 16, 2023
14
22
Utangulizi;
-----------------
Ipo Tofauti Kati ya Nguo na Mavazi.. Kwa Tafsiri Ya Kiroho, sawasawa Na Ufunuo wa Roho Mtakatifu..

NGUO--- GARMENT.
MAVAZI--- VESTURE.

Nguo ni ile uivaayo ukiwa katika shughuli zako za; Kijamii, Uchumi na Maendeleo....
Lakini VAZI, Ni ile uivaayo ukiwa katika HUDUMA, UTUMISHI, KUHUBIRI, MAOMBI AU MAOMBEZI.... Yaani uvaaji Maalumu kwa Ajili ya kuhudumu Madhabahuni Hasa Kanisani, au ndani Ya CHUMBA CHA MAOMBI...

Mathayo 27:35
[35]Walipokwisha kumsulibisha, waligawa mavazi yake, wakipiga kura; [ili litimie neno lililonenwa na nabii, Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.]
_______________________
And they crucified him, and parted his garments, casting lots: that it might be fulfilled which was spoken by the prophet, They parted my garments among them, and upon my vesture did they cast lots.

UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU KUHUSU NGUO NA MAVAZI;---
-------------------------------

NGUO na MAVAZI ni Aina mbili Tofauti za injili zisizofanana zinazofanya KAZI katika Kanisa la Yesu Kristo Hapa Duniani...

Zaburi 22:18
[18]Wanagawanya nguo zangu,
Na vazi langu wanalipigia kura.
-------------------------------
They part my garments among them, and cast lots upon my vesture.

NGUO za Yesu Kristo zilizogawanywa Mafungu, manne.. 4; Ni INJILI NNE, ambazo Ni Habari Njema kwa Watu WOTE...

INJILI NNE; 4
-----------
1. Injili Ya Kwanza;-----1
KATIKA INJILI YA MATHAYO YESU KRISTO Anaitwa;--- MFALME...

Mathayo 2:2
[2]Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.

2. Injili Ya Pili;--------2
KATIKA INJILI YA MARKO YESU KRISTO ANAITWA ; MTENDA MIUJIZA

Marko 6:2
[2]Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni hekima gani hii aliyopewa huyu? Na, Ni nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?

3. Injili Ya Tatu----------3
KATIKA INJILI YA LUKA ; YESU KRISTO ANAITWA; RAFIKI WA WENYE DHAMBI

Luka 19:5-7,9-10
[5]Na Yesu, alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi, kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako.

[6]Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.

[7]Hata watu walipoona, walinung’unika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi.

[9]Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu.

[10]Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.

4. Injili Ya Nne-----------4
KATIKA INJILI YA YOHANA YESU KRISTO ANAITWA MWANA WA MUNGU

Yohana 1:14
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

INJILI YA ROHO MTAKATIFU ;--
-------------------------------
Injili Ya Roho Mtakatifu Ni Lile VAZI la YESU KRISTO Lililo pigiwa KURA....
INJILI YA ROHO MTAKATIFU, Sio Ya Watu WOTE,
Bali Ni Ya Watu wachache Sana, Waliopewa Kibali Cha Kutumika nayo..
Hii ni Injili Ya Mitume na Manabii na yenye Sura Ya KIKUHANI.... Kabla ya Kupewa injili Hii, Mbinguni Wanapiga KURA, ili Kujua ni Nani Wanastahili Kuipewa Injili Hii..!
Ndio maana utakuta baadhi Ya Watumishi wa Madhabahuni wanaipinga, Na kuwashambulia Mitume na Manabii..... Na Baadhi YETU, pamoja na Mimi ; Mwalimu ; Jordan Gadi Twarindwa ; Tunawakubali Mitume na Manabii..........

Ukiona Mtumishi yeyote anawashambulia Mitume Na Manabii, ujue KURA haijamwangukia..! Na Amenyimwa Kibali Na Ruhusa ya KUZIJUA SIRI ZA UFALME WA MBINGUNI....

1 Wathesalonike 1:5
[5]ya kwamba injili yetu haikuwafikia katika maneno tu, bali na katika nguvu, na katika Roho Mtakatifu, na uthibitifu mwingi; kama vile mnavyojua jinsi zilivyokuwa tabia zetu kwenu, kwa ajili yenu.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°

1 Wakorintho 2:10,13-14
[10]Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.

[13]Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.

[14]Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

Mathayo 13:11,13-16
[11]Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
.
[13]Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.

[14]Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema,
Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa;
Kutazama mtatazama, wala hamtaona.

[15]Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito,
Na kwa masikio yao hawasikii vema,
Na macho yao wameyafumba;
Wasije wakaona kwa macho yao,
Wakasikia kwa masikio yao,
Wakaelewa kwa mioyo yao,
Wakaongoka, nikawaponya.

[16]Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia.

Mwalimu na Mchungaji;--
-------------------------
MZEE JORDAN GADI TWARINDWA.
+255689495579/ +255755932600.
jtwarindwah@gmail.com
TANZANIA, DAR ES SALAAM
Wilaya Ya ILALA, Tabata Kimanga..
Mtaa Wa Twiga.
Collage_2023-11-29_00_06_21.jpg
 
Maneno meengi lakini bado hujatoa masna ya vazi kitoho.

VAZI ni tabia mwenendo, utambulisho.(
Lakini alipoingia yule mfalme ili kuwatazama wageni wake, akaona mle mtu mmoja asiyevaa vazi la arusi.

Mathayo 22:11)

(Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)

Ufunuo wa Yohana 16:15

Nakupa shauri, ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, upate kuwa tajiri, na mavazi meupe upate kuvaa, aibu ya uchi wako isionekane, na dawa ya macho ya kujipaka macho yako, upate kuona.

Ufunuo wa Yohana 3:18

Na viti ishirini na vinne vilikizunguka kile kiti cha enzi, na juu ya vile viti naliona wazee ishirini na wanne, wameketi, wamevikwa mavazi meupe; na juu ya vichwa vyao walikuwa na taji za dhahabu.

Ufunuo wa Yohana 4:4

Akajibu mmoja wa wale wazee akiniambia, Je! Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni akina nani? Na wametoka wapi?

Ufunuo wa Yohana 7:13
Nikamwambia, Bwana wangu, wajua wewe. Akaniambia, Hao ndio wanatoka katika dhiki ile iliyo kuu, nao wamefua mavazi yao, na kuyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo.

Ufunuo wa Yohana 7:14
 
View attachment 2829499
 
Wapotoshaji na wachawi at their best
 
Wasipokuelewa hapa ndiyo basi tena...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom