nguo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

    Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

    Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia. Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
  3. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Yoweri Museveni Rais wa Uganda amepiga marufuku Mitumba. Amesema ni Nguo zilizoachwa na Wafu wa Ulaya

    My Take Rwanda tayari,Uganda tayari. --- The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday. President Museveni has re-echoed the need for citizens to embrace the Buy Uganda Build Uganda (BUBU) policy if the country is to develop. In line...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
  5. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao ni kizungumkuti nguo kuchanika

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikiutazama uchaguzi ujao haki vile nabaki mdomo wazi. Mimi ni shabikia mkubwa sana wa serikali iliyopo madarakani. Nampenda sana Rais SSH. na katika ndoto zangu ninazoota naamini ipo siku nitapeana nae mkono🙆{sijui kama ndoto hii itatimia🤣🤣🤣} Lakini Kila nikitazama...
  6. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Kwanini Injinia alivaa nguo nyeupe kinyume na utamaduni wetu wa Yanga?

  7. D

    JamiiForums Tanzania Tukabidhi sisi jukumu la kufua na kunyoosha nguo zako

    Dobimaridadi Mtaalamu(specialist) wa kufua na kunyoosha nguo yupo kwa ajili yako kuhakikisha umaridadi wa muonekano wako kwa kuvaa nguo nadhifu. Tupe nguo zako leo tukufulie/kunyoosha kwa umakini wa hali ya juu wewe leta nguo ya aina yoyote bila kujali ni ngumu kiasi gani sisi tutahakikisha...
  8. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake hamuoni fedheha kuvaa nguo za ndani zinazojichora hasa mkitembea?

    Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama. Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Albert Msando kaona mama Tibaijuka kapuuza na hoja zake ameamua kujiposti yeye na nguo zake za mahafali na CCM

    Nchi imevurugwa, mkuu wa Wilaya ya Handeni alitafuta popularity kwa bibi wa Taifa mama Tibaijuka; bibi wa Taifa alijibu once then ila Msando amezungumza hadi maneno yameisha Nadhani hakujiandaa, sasa hivi ameona athibitishe hoja za kuuzwa bandari kwa mavazi yake ya mahafali may akiamini watu...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za mtumba

    Kama una mtaji wa kuanzia laki 7+ na unahitaji kupata faida kuanzia laki 3+ per month njoo inbox tuongee biashara ya nguo za mtumba nitakuelezea ukikubali tutafanya
  12. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Kwenu wachambuzi, mashabiki, mnaochambua hadi nguo, karibuni darasani mjifunze kuhusu nguo, jersey

    Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo: 1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Marufuku kucheza kwa kulowanisha nguo

    Serikali ya Zanzibar kupitia Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni imepiga marufuku mtindo wa Wanawake kulowesha kwenye maji nguo walizovaa na kisha kucheza nazo mziki kama ambavyo imekua ikifanyika kwenye baadhi ya sherehe ama mikusanyiko. Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

    Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Quality ya nguo za GSM na Waikiki siyo nzuri

    Mwaka jana mwezi wa 12 niliamua kufanya shopping ya nguo kwa watoto wangu. Nilianza na Woolworth. Woolworth bei za nguo za watoto ni juu sana kwa kweli. Nilinunua nguo chache lkn kwa gharama kubwa. Baada ya hapo nikaamua kwenda Mlimani City. Hapo ndipo nikagundua kumbe naweza kununua nguo...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wanasema: "Wabunge wetu hawategemei Kura za wananchi ndiyo Maana hawana heshima"

    Hii Ngoma bado mbichi kabisaa Maana viongozi wa Dini wamesema wameiskilza Serikali ila Wao watatoa matamko Yao baadae. Lakini hoja zao zimeonekana zenye akili na uelewa wa Juu wa mambo haya tofauti na wabunge wetu.. wanasema wabunge walio wengi hawategemei Kura, wanaamini iwe jua au mvua...
  18. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD na bandari la mvua nguo aliyekua kamanda Chadema

    Wasalaam watanganyika, Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm, Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua kushiriki vikao na shuhuli za kina mama ccm zaidi ya shughuli nyingine. Hatukuelewa ni kwann ana attend...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya Kufua na Kukausha Nguo 10kg Inauzwa

    Mashine ya Kufua na Kukausha nguo 10kg inauzwa bei chee. Acha kufua kwa kutumia mikono. Kazi hiyo ziachie mashine zifanye. Bei 450K Wasiliana na muuzaji: 0757669270
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

    Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA). Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya...
Back
Top Bottom