news

  1. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Dr. Abbas: Tenda ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Mwanza-Isaka itatangazwa wakati wowote

    Shirika la Habari la Kimataifa la CNBC Africa tarehe 29 Februari, 2020 limerusha kwa zaidi ya nchi 100 duniani makala inayoeleza mafanikio ya Tanzania katika sekta mbalimbali Ripoti ya RMB ya mwaka 2020 imeitaja Tanzania imekuwa ya 21 duniani, Afrika imekuwa ya 4 na Afrika Mashariki imekuwa ya...
  2. Mpauko

    JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1994, Kihanga, huko Iringa Vijijini, kwa mipango yako nilizaliwa, mtoto mdogo mwenye afya njema. Miaka sita mbele hakika nilibadilika hasa, kijana mchangamfu, mchapakazi, mwenye akili nyingi na fuarha tele, wazazi wangu walikuwa ni wenye kujivunia kijana huyu, Ndugu na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

    Heshima kwenu wakuu, Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari. Tutatoa updates kwa kila kinachojiri. ==== UPDATES: Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mjuumbe wa usimamizi na uwendeshwaji wa ligi amejiuzulu

    Mwanahabari mkongwe na mjumbe wa usimamizi na uwendeshwaji wa ligi bwana Baruani Muhuza ameamua kujiuzulu siku ya leo baada ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo yanayoendea ndani ya bodi hiyo.
  5. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Vine yageuka Byte, imesaini mkataba na WEPLAY Group

    Mtandao uliokuwa maarufu duniani kote Vine umefanya mabadiliko na sasa utatambulika kama Byte. Vine kwa miaka kadhaa ilisimama imara kabla ya kupigwa vikumbo na magwiji Instagram, Snapchat na hata kusogezwa mbali zaidi na Tiktok. Vine imekuwa ikifanya tafiti na kutengeneza mbinu wezeshi za...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Egypt raids Turkish-run news agency in Cairo, arrests and charges employees

    Authorities in Egypt raided the offices of the Turkish state-run Anadolu News Agency in Cairo on January 15, arresting four staff members on charges of false news. The four were released on bail on January 16. Egypt was the world's third worst jailer of journalists in 2019. Source: cpj.org
  7. simplemind

    JamiiForums Tanzania 24 Hour Solar Energy now possible. Good news is price is falling dramatically

    This is the future of power of generation. Clean Energy with little enviromental impact.
  8. Viol

    JamiiForums Tanzania Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

    Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran. Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira . Tupeane updates ***** UPDATE Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Simba SC ndani ya PES 20

    Simba SC ya Tanzania ndani ya PES CAF, zipo teams 51 tu za africa ,ikumbukwe simba ni ya 16 afrika kwa ubora hivyo ni lazima iiingie kwenye issue hiyo
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa. Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa. Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Breaking news! Pombe zote zimekwisha Moshi muda huu

    Hali ni mbaya leo inasemekena Mbwa zote zimefungiwa Iringa muda huu. Hakuna mbwa inayozurula nje muda huu.
  12. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

    Leo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo. Mussolin aliondoa baa au balaa la Malaria Katika mji mdogo wa Italia, Kwa mujibu wa kardinal Pengo wakati...
  13. Mekatilili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania $2.5BN TATU CITY: Progress pictures and News.

    Progress is being made and I am in awe of our work ethic! Chapa kazi, you talk! Greenery
  14. Mekatilili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

    Summary: The project will involve the following components:[2] A port at Manda Bay, Lamu Standard gauge (1,435 mm (4 ft 8 1⁄2 in)) railway line to Juba and Addis Ababa, the South Sudanese and Ethiopian capitals respectively. Road network Oil pipelines (South Sudan and Ethiopia) Oil refinery at...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo

    November 10, 2019 La Paz, Bolivia Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia mbinyo wa kisiasa baada ya kudai kuwa ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha nne, uchaguzi na matokeo yake...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

    Wanabodi, Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda. Andamana nami...
  17. Naxvegas254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jackline Jepkosgei Wins The New York City Marathon

    Happening Now on Citizen TV. Our beautiful majestic Lady Marathoner Jackline Jepkosgei has won the New York City Marathon. Hongera kwake huyo mwanadamu kwa kuwakilishwa Kenya katika mbio hizo za riadha kule Marekani.
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Sunday News wametulisha tango pori au?

    Wadau nimeona hii picha Sunday News leo juu ya ujenzi wa Kwala " Inland" Container Depot, at Ruvu Mkoa wa Pwani. Nikashangaa kidogo maana picha haionyeshi u inland wowote bali panaonekaka ni ufukwe wa bahari ambayo natumaini ni bahari Hindi. Pengine kukaa mno Dsm kumeniathiri na ndio nawauliza...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Habari ya Dr. Shika Daily News: Dear Daily News, you are a broadsheet and not a tabloid!, habari za udaku, umbeya na udhalilishaji waachieni Tabloids!

    Wanabodi, Kupitia bandiko hili, imeripotiwa kuwa gazeti serious la serikali, The Daily News, ameripoti habari hii ya Dr. Shika https://www.jamiiforums.com/threads/bilionea-dr-shika-hana-sehemu-ya-kulala-analala-kituo-cha-magari-mnazi-mmoja-dar.1645086/#post-33317174 Imeripotiwa in a form of...
  20. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

    Guest house inauzwa buguruni sokoni. Zipo 2, zote zinauzwa million 120. Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not. Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838 Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
Back
Top Bottom