Aloyce Mkwizu

Member
Dec 19, 2016
70
53
Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838

Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
 

Attachments

  • IMG20190622121620.jpg
    IMG20190622121620.jpg
    270.5 KB · Views: 54
  • IMG20190622122840.jpg
    IMG20190622122840.jpg
    109.5 KB · Views: 57
  • IMG20190622123215.jpg
    IMG20190622123215.jpg
    139.3 KB · Views: 54
  • IMG20190622123931.jpg
    IMG20190622123931.jpg
    186.3 KB · Views: 55
  • IMG20190622130350.jpg
    IMG20190622130350.jpg
    189.5 KB · Views: 58
Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838

Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
Buguruni ya Kigoma au ya Dar!?
 
Watu wa Kigoma bhana.. Tv na decoder imezingirwa na ulinzi mkali hata ukubwa wa screen umepungua.

Nilijua hizi tabia ziko Kigoma kumbe hadi Buguruni zimefika!!!!
 
Kwa buguruni hiyo guest unapiga short time buku 5 kwa Mwaka mmoja unahesabu faida tu! Buguruni naikubali sana!
 
hii si ndo ilikua inaitwa SEWA GUEST HOUSE ?, dah nishawai piga hat trick umo
 
Uyu mleta taarifa mbona aji na mrejesho zote 2 ndio 120m au kwa kila moja
 
inavyumba zaida ya 9 ndo nini?? unafanya biashara au maonyesho??
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom