Kwani deadline ilikuwa liniToo late
Mwenyekiti wa bodi bw Steven Mguto anasubiri nini kujiuzulu!???
Mwanahabari mkongwe na mjumbe wa usimamizi na uwendeshwaji wa ligi bwana Baruani Muhuza ameamua kujiuzulu siku ya leo baada ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo yanayoendea ndani ya bodi hiyo.
Kwahiyo anarudi Kwao Burundi au?
Mo anaharibu ligi yetu kwa kuhonga marefa
Watu wenye brain kumkichwa nafisi zinawasuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Demu alipoipa Mikia penalty dhidi ya YangaKwani deadline ilikuwa lini
Vijana wa malinzi naona mko kaziniMO mpuuzi sana bora angebaki kule polini alikokuwa kavalishwa kanga moko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo..Kwahiyo anarudi Kwao Burundi au?
Tatizo lenu nyinyi yanga Malinzi aliwabeba sana ndomana saiv pekee enu hamwezi
Embu kumbukeni lile goal alilo funga Tambwe la mkono mbona hamkuwaambia Tff walifute mlikaa kimya saiv ndo mnajifanya mnajua haki
Au kama una kumbukumbu tazama mechi ya mzunguko wa kwanza msimu wa 2016/17 goal halali la Ajibu lakini refa hakufungiw,vilevile kuna uhuni mwingi sana yanga wanafanya Tff inawanyamazia tu.
Kwakuwashauri tu ubovu wa Yanga upo kwa viongozi wenu wamekosa ubunifu wamejaa kulalamika ,wao kila siku ni lawama tu, wala hawafikirii maendeleo.