news

  1. musabuze

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

    Habari Wana JF, Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding. Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni Kazi Kama Kazi Zingine ila Kuwa na Shauku ya Kuwa na App Yako ni Mahitaji Kama Yalivyo Mahitaji...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Felicien Kabuga arrested in France

    It was alleged that Felician Kaguba was the one who was supplying the government of Juvenal Habyarimana and the deadly Interahamwe with machettes. He was the " Reginald Mengi" of Rwanda during the reign of Habyarimana. He has been at large since 1994. For a very long time, rumours has it that...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mhariri "Daily News" sasa unatia aibu! Yapi Merzeki na mradi wa Umeme , wapi na wapi?

    Gazeti la leo 15/3/2020, front page Daily News. Picha ni nzuri lakini ati anayejenga mradi huo ni Yapi Merzeki!!!!!!! Mhariri naona amechok kazi. No proof reading na anabeba tu makosa ya waandishi wake. Hakumbuki gazeti hili la serikali linasomwa dunia nzima.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top Tanzanian news paper questions the tests done at Namanga by Kenya

    Covid-19: Tanzanian Leading Newspaper Questions The Tests Done at Namanga Border by kenya [Photo: President Magufuli (L) of Tanzania and President Uhuru of Kenya (R)] Photo/Courtesy Relationship between Tanzania and other East Africa states is deteriorating. This is after Tanzania way of...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Good news as ltaly has allegedly discovered a new Vaccine for COVID-19

    A doctor administering a vaccine to a patient. [Source/cnbctv18.com] As the war against the world wide coronavirus pandemic continues, there are many countries and organizations that are trying so hard to come up with its vaccine. Recent allegations have pointed out that Italy, a country that...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

    Msimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza waziwazi mashaka yake juu ya mashine zinazotumika kupima sampuli za wagonjwa wa Corona. Akizungumza kutokea Chato, mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania African Union supports COVID-19 Organic Medicine from Madagascar

    AFRICAN UNION SUPPORTS COVID ORGANICS MEDICINE FROM MADAGASCAR Addis Ababa- The Bureau of the African Union Heads of States held a tele-conference meeting to discuss in detail the efficacy of the Covid Organics Medicine(CVO) as developed by the Republic of Madagascar in treating COVID-19...
  8. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Good news to married couples

    The kenyan government will increase maternity services allocation, due to the projected growth in pregnancies resulting from the covid19 crisis. The president said this in interviews with radio station journalists at state house. He said couples are spending more time together and this will...
  9. Kaduguda

    JamiiForums Tanzania Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha mchango wa kifedha ambao Marekani imekuwa ikiutoa kwa Shirika la Afya Duniani WHO kufuatia namna walivyolichukulia suala la COVID-19. Pia WHO wanalaumiwa kwa kuchelewa kutoa taarifa za mlipuko wa ugonjwa huo kwa mataifa mengine kwa wakati. Amewaambia...
  10. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Good news dog lovers

    Attention all Kenyan Dog lovers and breeding kennels,the annual Kenya police dog auction(In Langata ) has been postponed. This gives you time to prepare your wallet and vocal chords for this annual auction that is also a good family event. This year 18 highly trained and battle ready dogs from...
  11. Cvez

    JamiiForums Tanzania Hivi Braking news ni habari yenye sifa ipi!

    Zaidi ya mara mbili sasa kituo maarufu zaidi kwa habari nchini. Ghafla tu kinakatiza matangazo na kutuletea breaking news. "BREAKING NEWS: Idadi ya visa vya Corona nchini Kenya yafikia watu 172".. Kwa hali ya sasa ambapo baadhi ya watu wapo quarantine, wengine wanasubiria vipimo ni dhahiri idadi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Prince Charles tests positive for COVID-19

    Habari za hivi punde ambazo ni mpasuko kupitia BBC zinasema Prince Charles wa Wales amepata maambukizi ya virusi vya Corona. Prince alikuwa anafanya kazi zake kutokea nyumbani na haijulikani amepataje maambukizi. ------ Prince Charles has tested positive for coronavirus. Clarence House...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sheikh Idd Nyundo afariki dunia

    Kuna taarifa zisizothibitishwa kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala [na hapo kabla Temeke] Mh. Idd Nyundo amefariki dunia leo asubuhi. bagamoyo,
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Korona yatua nchini Rwanda

    MUNGU ATUNUSURUU NAONA USAFIRI .... LIGI NAYO.. MMH
  15. Mekatilili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Konza Technopolis (Konza City): Pictures & News

    Website: Konza Technopolis Konza (Konza Technopolis ) is a key flagship project of Kenya’s Vision 2030 economic development portfolio. Konza will be a world-class city, powered by a thriving information, communications and technology (ICT) sector, superior reliable infrastructure and business...
  16. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Oryx washusha bei ya gesi

    Walee mliokuwaa mkimtukana basiasi njoooni hukuu Oryx Gas wamepunguza gesi kuanzia kesho 4-3-2020 KG 6 BEI YA KUUZA 20" 000 BADALA YA 22" 000 YA AWALI (2000) diff KG 15 BEI YA KUUZA N 50'000 BADALA YA 54" 000 YA AWALI (4" 000) diff TUNASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU ORYX GAS PAMOJA NAWE DAIMA
  17. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Mgombea Wa Democrat Mwenye Tabia Za Kishoga Ajitoa Kugombea Urais Nchini Marekani

    Democratic presidential candidate former South Bend, Ind., Mayor Pete Buttigieg, left, meets with former President Jimmy Carter, center, at Buffalo Cafe in Plains, Georgia,March 1, 2020. Democratic presidential candidate former South Bend, Ind., Mayor Pete Buttigieg, left, meets with former...
  18. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Dr. Abbas: Tenda ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Mwanza-Isaka itatangazwa wakati wowote

    Shirika la Habari la Kimataifa la CNBC Africa tarehe 29 Februari, 2020 limerusha kwa zaidi ya nchi 100 duniani makala inayoeleza mafanikio ya Tanzania katika sekta mbalimbali Ripoti ya RMB ya mwaka 2020 imeitaja Tanzania imekuwa ya 21 duniani, Afrika imekuwa ya 4 na Afrika Mashariki imekuwa ya...
  19. Mpauko

    JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1994, Kihanga, huko Iringa Vijijini, kwa mipango yako nilizaliwa, mtoto mdogo mwenye afya njema. Miaka sita mbele hakika nilibadilika hasa, kijana mchangamfu, mchapakazi, mwenye akili nyingi na fuarha tele, wazazi wangu walikuwa ni wenye kujivunia kijana huyu, Ndugu na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

    Heshima kwenu wakuu, Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari. Tutatoa updates kwa kila kinachojiri. ==== UPDATES: Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
Back
Top Bottom