ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ajira yoyote. Nina shida ya usikivu hafifu

    Habari za Uzima Ndugu zangu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye Umri wa Miaka 26 Nina Usikivu Hafifu. Hali hii imenifanya Nakosa Kazi / Mishe. Juzi Niliitwa kwenye Usaili Kwenye Kampuni Ya Ulinzi Ya "Ws insight Security" iliyopo Msasani. Usaili Nilifanya Vizuri Lakini walipogundua Nina Usikivu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi. Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia kuwa fumbo kwetu, maana hakuna aliyeenda huko na kuleta mrejesho, hata yesu mwenyewe alisema...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ila huyu dada mzuri ndugu zangu

    Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
  5. TUMA TANZANIA 1

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, sisi sote baba yetu mmoja

    Habari kiongozi unasoma post hii naandika nikiwa na maumivu makali mno ya moyo maana najiuliza baba yetu alikosea kutuachia Mali? maana tunawaua watoto wetu, wadogo zetu na ndugu zetu kisa tunataka Mali waliyonayo hii ni sawa ama ni haki? Mwaka mmoja sasa tangu nimekuwa na rafiki toka kongo...
  6. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnatukosea sana, huu mtego mnachomoka vipi ndugu zangu wanaume

    Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile. Umekaa umetulia zako ghafla simu inaingia namba ngeni sauti halisi ya mwanamke haieleweki anaibuka tuu na kusema baby wangu unaendeleaje...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Poleni sana ndugu zangu wa Dar es salaam kwa mvua zinazoendelea kunyesha

    Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya umeme kutatizika, shughuli za uzalishaji, biashara na huduma za usafirishaji kuzorota pakubwa ni...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

    Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
  9. 0

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

    Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu. Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila nitashukuru kama mtanisoma mpaka mwisho; Ni saa 9 za usiku usingizi unatoweka ghafla,Nasikia sim kwa...
  10. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.? Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii. Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
  11. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu katika Imani

    Ukumbusho umfaa mwenye kukumbushika ndani ya mwezi huu mtukufu ndio Quran ilishushwa, hivyo tusipoteze muda mwingi katika mtandao ya kijamii, kushinda vijiwe vya kahawa, kusoma magazeti, kuangalia runinga na yanayo fanana na hayo. Tuelekeze muda wetu mwingi katika ibada: Swala tano Kusoma...
  12. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia. Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka na wadogo zangu) hatukutoka kwenye familia ya yenye uwezo. Maisha tuliyokuwa tunayaishi tangu nikiwa...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea? === Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  15. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

    Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni. Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
  16. AFRICAN BOYI

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi. Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi. HISTORIA...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninarogwa sana. Mniombee pia hata kama mbinu za asili mnazo mnisaidie kisirisiri upo mlipo

    Juzi nimelala mchana, alafu nikaota alimanusura nigongwe na pikipipki. Pikiki ilifunga breki ikiwa inaendeshwa na mzee wa makamu. Ilifunga breki alafu yule mzee akaniuliza huoni? Muda mwingi nahisi kukata tamaa na kuona kama nahitaji kufa. Kumbe hata kuuza kangala tu mtu unarogwa?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Jambo ndugu zangu

    Habarin ndugu zangu kwema? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi. Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu? Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmeniangusha sana ndugu zangu. Ina maana kweli mmekosa watu wa kubadilisha upepo wa papa?

    Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa. Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani.. Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki. Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na...
Back
Top Bottom