Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

Neyli

Member
Oct 23, 2023
5
2
Habarini ndugu zangu naomba kuuliza kama nimepata mkopo asilimia 20% je, naweza kuomba kuongezewa?
 
Kata rufa, weka viambata vinavyokufanya kutoridhika na mkopo huo!. Wakilidhika wanakupa inatokea watu huongezewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom