ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nahisi naibiwa sio kwa miamala hii. Wenye ujuzi mnisaidie

    Wasaalam! Poleni kwa majukumu, moja kwa moja kwenye mada naomba mnisaidie kwa mnaojua hizi aina za miamala (kwenye picha) Kuna huu muamala CRDB wanaita TMS Cash Withdrawal Desc. Persanal Cash withdrawal Naomba kujua ni muamala wa aina gani maana kuna kiasi cha pesa 300k nilipokea, nasikutoa...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

    Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza. Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But...
  3. moyo wenye aman i

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hili sitalisahau kabisa

    Wanajamvi poleni na harakati za hapa na pale. Jamani nakumbuka hili tukio mpaka saivi ilikuwa 2020 ndo nimetoka kambi-jkt nipo zangu nyumbani pale bomangombe nikamuona Dada kama 23 years mambo yakawa fleshi nikampa taarifa ilikuwa jtano kuwa nitafika mjda wa chai. Basi Siku ilipofika nikaazima...
  4. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni mwenye kufahamu anisaidie

    Habari ya muda huu ndugu zangu, ni matumaini yangu kwamba wote mko poa kabisa na mnaendelea na majukumu yenu vizuri. Ndugu yenu nina shida moja. Nilipata ka uvimbe chini ya mstari wa korodani sasa nikahisi labda ni jipu maana kanauma sana lakini kila nkiangalia kama ni jipu basi nilitafutie...
  5. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

    Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM. Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri...
  6. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA NDUGU ZANGU KWA WENYE UZOEFU NA UELEWA JUU YA HILI.

    #mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM. Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo...
  7. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Ndugu zangu

    Wakuu habari!!! Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi. Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja. Nimeamua nije kwenu nahitaji msaada maana duuh!Hali inakoelekea naona mwanga...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hii siyo love bite kweli?

    Huyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.😡😡
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

    Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
  10. Mama Luq

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita, nina uwezo wa kutumia computer vyema

    Habari zenu ? Matumaini yangu nyote ni wazima wa afya mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25,elimu yangu ni kidato cha sita nina uwezo wa kutumia computer vizuri sana na nishafanya kazi za research kama research assistance na mashirika kama MDH na NACP. Nipo hapa wakuu kuomba msaada wa kazi...
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

    INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu. Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
  12. Tony Yeyo

    JamiiForums Tanzania Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers

    Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers Nitumie njia gani?
  13. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Eid haiko mbali na sisi tutalipa kisasi

    Yote sababu ya pilau😁
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  15. poposindege

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ubuntu ndugu zangu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Ndugu zangu nimesakinisha Ubuntu 22.04 kwenye HP Elitebook Folio 1040. Nimefanikiwa mpaka mwisho lakini nikizima kuwasha tena inakataa. Nimejaribu kupita Google lakini sijaambulia kitu. Naomba mwenye ufahamu anielekeze namna ya kutatua tatizo hili...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

    Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo. Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

    Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu. Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic) Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni ushauri

    Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu. Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wahaya, tuache upotoshaji, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hana asili ya Kanyigo, Bwanjai wala Kanyangereko

    Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Naitwa Ashery Jamal Masoud, natafuta ndugu zangu. Marehemu mama yangu aliitwa Sara Mponela

    Habari zenu? Natumaini wote wa forum hii hamjambo. Kwa jina naitwa Ashery Jamal Masoud, nina miaka 57. Nilizaliwa hapa Dar es Salaam, na nimeishi hapa miaka yote kasoro kwa kipindi fulani nilipopata kazi Dodoma. Hapo nimeamua kujieleza kwa sababu nawatafuta ndugu zangu na natumaini mtu mmoja...
Back
Top Bottom