ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

    Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa. Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
  2. Cavill

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni Wakuu, shida iko wapi?

    Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae.. Wanawake 1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Miti ya parachichi inarefuka na kuwa myembamba

    Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
  4. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wenye mioyo ya kutoa kuweni makini na wanaoonekana ombaomba mitaani, wengi wao matapeli na vibaka

    Hii haina haja ya kusalimiana, Jana nikiwa kwenye harakati zangu za kutafuta mkate wangu wa kila siku kama ilivyo Ada kwa watu tuliombiwa tutakula kwa jasho. Niliibahatika kuingia kwenye jengo moja mitaa ya Masaki. Wakati natoka kwenye hilo jengo nje nikakutana na kundi watu wanaoonekana ni...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

    Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela... Infact...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimerudi Jukwaani Ndugu Zangu

    Salaam kwa Wanajukwaa..baada ya pilika pilika na changamoto za hapa na pale nimerejea Jukwaani.Namshukuru Mungu Kwa Uhai..Sasa nitaweza kusoma na Kuchangia hoja
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huyu anaweza kuwa mnyama gani?

    Mwenye kujua huyu mnyana anijuze tafadhali.
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tuombe mwisho mwema ndugu zangu

    Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo.. Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo... Unamuona mweupe na mweusi hapo? Umemuona handsome hapo? Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo? Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo?? Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo? SHORTLY Huna uzuri wowote, huna elimu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Yanga sisi tunawaletea tu wachezaji wa maana ili muwasajili

    Chukueni Fernandez Chukueni Abdulrazak Hamza Chukueni Camara Chukueni Kagoma aliyewatoroka Chukueni Mukwala Chukueni Awesu Chukueni Okajepha Chukueni Ateba Kazi mnayo sasa hivi
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  11. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

    Yessssssss.. niaje! Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!. Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  13. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Simba njooni tukubaliane hili kabla ya mechi

    Mangungu anafaa au hafai? Na msibadili gia baada ya mechi.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nimeanza kujifunza kuhesabu kwa lugha ya kiarabu, tujifunze pamoja tuache kung'ang'ania kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu Asubuhi ya leo...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  16. EddyArt

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninaombeni zabuni ya sanaa ya uchoraji picha za ukutani kwa majengo ya kisasa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja. Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  18. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni mnisaidie nimepotezana na dada yangu kipenzi. Anaitwa JESCA au YOY

    Nimepotezana nae mwaka 2015, Na 2017 mumewe akafariki dunia kwa ajari ya pikipiki akiwa anaenda kazini. Mumewe alikuwa anaitwa ADAM alikuwa mrefu mweupe alikuwa ni fundi wa vyombo vya moto. Wakati napotezana nae alikuwa na watoto wawili wa kiume. Mmoja alikuwa akiitwa RUBEN alikuwa na kama...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  20. kwisha

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Jambo ndugu zangu Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama Sasa ilo jambo linanitatiza Sijui nyinyi mnanishauri nini
Back
Top Bottom