LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,121
- 27,128
Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa.
Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani..
Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki.
Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na yanaweza kugeuzwa na kubadilishwa juu chini na upepo ukabadilishwa ndani ya dakika sifuri na dunia ikakiri ama kwa hakika papa hakumaanisha hicho walichokielewa wao.
Wakatoliki hebu fanyeni hima bana mmalize huo mpira. Kweli mmekosa watu wa propaganda? Watu wa kubadilisha upepo?
Kuna kesi moja maarufu sana ilitokea Uingereza miaka ya 1920s enzi za Lord Denning ( names of the parties nimezisahau ila nakumbuka facts na judgment both in the trial court and at the appellate court)
Ni hivi dogo ( 19 yrs) alihukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mkewe ( 18) kwa risasi)
Awali bwana mdogo alikuwa amefunga ndoa na mkewe then Mkewe akarudi kwao baada ya kutokea tofauti. Baada ya muda dogo akahisi mkewe atakuwa kapata mtu mwingine.
On the fateful day dogo akaenda kumuomba msamaha mkewe arudi nyumbani. Mke akagoma. Dogo akampiga risasi mke akafa. Ndugu wa mke wakapiga simu polisi dogo akawa arrested then akahukumiwa maisha. ( ndugu walikuta tayari dogo kamuua mkewe)
Dogo aka appeal ( alipata wakili mzuri )
Utetezi wa dogo kupitia wakili wake:
" Mtukufu Jaji, ninampenda sana mke wangu. Alipo rudi kwao niliumia sana. Nikaona hakuna sababu ya kuishi tena duniani so nikaenda kumuomba arudi kwa malengo kwamba akikataa basi nitaji#a. Nilipoenda kumuona kweli akakataa kata kata. Nilipo ona amesisitiza hataki kurudi nikachukua bastola ili nijimalize. Mke wangu alipoona hivyo akaja kuninyanganya bastola nisimdhuru, katika purukushani hizo bahati mbaya nikabonyeza trigger nikamuua"
Dogo akawa acquitted na upepo ukabadilishwa juu chini. Jamii badala ya kumuona muuaji ikaanza kusymphasize nae.
What am saying here ni kwamba hakuna tukio au kauli ambayo haiwezi kubadilishwa na kumaanisha kinyume chake.
Usiendelee kumlaumu papa ambae ni mzee kwa kutoa kauli tata wakati wewe kijana upo unaweza kubadilisha hiyo kauli.
Let's GO