Ndugu zangu Arsenal mpooo? Aston Villa wameshafanya yao EPL

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,462
Timu ya Aston Villa imeendelea kuonesha kuwa msimu huu haina utani kwenye Premier League, hiyo ni baada ya kuichapa Arsenal goli 1-0 kwenye Uwanja wa Villa Park.

Matokeo hayo yanaifanya Villa kubaki nafasi ya tatu ikiwa na pointi 35 wakati Arsenala ambayo huo ni mchezo wao wa pili kupoteza msimu huu imebaki nafasi ya pili ikiwa na alama 36, hivyo Liverpool inaongoza ikiwa na pointi 37.

Msimu huu wa 2023/24 katika ligi hiyo, Aston Villa imezifunga timu kubwa kadhaa ikiwemo Chelsea (1-0), Tottenham Hotspur (2-1) na Manchester City (1-0).
 
Wamenichania mkeka wangu😔😔
 
Wamenichania mkeka wangu
Ila leo mhindi kapiga hela mno!

Bayern kaoga 5
Man U kachezea 3
Arsenal kakalia 1
Brighton kakalia 1 pia

Shida nanyi mnaobet sijui akili huwa mnaweka wapi! Yaani mtu unajitungua unampa ushindi Chelsea, Man U, Spurs!!! Kama si kujitafutia heart attack na diabetes ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom