Mr George Francis
Senior Member
- Jun 27, 2022
- 186
- 212
Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!!
Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika.
•Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu ya NDOA, kutokana na vipigo na manyanyaso yaliyopitiliza na wengine wamejiua wenyewe baada ya kushindwa kuhimili changamoto za ndani ya NDOA.
•Kuna watu wamepata ulemavu wa maisha kwasababu ya NDOA. Kuna wengine wamepoteza ujasiri wa kupambana na maisha kwasababu ya NDOA.
•Kuna watu wamefirisika kwasababu ya NDOA kutokana na tabia hatarishi kiuchumi za upande wa pili. Na wengine wameacha au kupoteza kazi kwasababu ya kutumikia NDOA.
•Kuna watu walikuwa na ndoto kubwa za maisha lakini ndoto zao zilidumaa na hatimae kufa kabisa baada ya kuingia kwenye NDOA kutokana na kukosa uhuru wa kufukuzia ndoto zao.
•Kuna watu hivi sasa wapo hospitali kwaajili ya kujiuguza presha, kisukari na madonda yaliyotokana na NDOA.
•Kuna watu wapo Mahakamani muda huu na Mahakama imeshindwa kabisa kuwapatanisha, ugomvi ni mzito sana na hakuna anayetamani tena kubaki kwenye NDOA.
Bado najiuliza, Je! NDOA ni CHUNGU au TAMU?!!!
Lakini wakati wengine hawaitaki NDOA, wapo wengine wanaitaka NDOA hata leo hii na wengine wapo kwenye mipango ya NDOA na wengine wapo kwenye NDOA kitambo tu na wanaifurahia NDOA.
•Kuna watu wameokoa maisha yao kwasababu ya NDOA. Na wengine wamepona magonjwa kwasababu ya NDOA.
•Kuna watu wametajirika na wanaendelea kuimarika kiuchumi na maisha yao ni mazuri sana kwasababu ya NDOA.
•Kuna watu wamefanikisha ndoto zao kwasababu ya NDOA. Na wengine wanaendelea kuishi maisha ya ndoto zao kwasababu ya NDOA.
•Kuna watu wamepata furaha waliyoikosa kwenye maisha yao miaka mingi, lakini baada ya kuingia kwenye NDOA hadi sasa mambo ni murua na furaha tele kwasababu ya NDOA.
Bado najiuliza, Je, NDOA ni CHUNGU au TAMU?!!
Naomba majibu tafadhali!!
Kwa upande wako unaonaje.! Ni kwanini unataka kuingia kwenye NDOA, kwanini mpaka sasa upo kwenye NDOA, kwanini unataka kutoka kwenye NDOA na kwanini umetoka kwenye NDOA.
Naomba majibu tafadhali!! Je NDOA ni CHUNGU au TAMU.?!!
#No_Learning_No_Earning
So we have to Learn.
NAME: Mr George Francis
A Lawyer & LifeCoach
📩 mr.georgefrancis21@gmail.com