Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,170
11,572
Wapendwa,

Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa.

Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo.

Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa zimeshasambaratishwa na zimwi hili.

Ni fedheha na aibu kwa watoto kushuhudia au kuskia wazazi wao wanachepuka upande ule au upande huu na wazazi wa familia nyingine, pisi kali mtaani au viBen 10.

Ni fedheha watoto, na majirani kushuudia mafarakano na mapigano yasioyoisha ya wazazi wana ndoa au wachumba, kudhihakiana na kudhalilishana hadharani kwa lugha kali za matusi na zisizo na staha, kisa kutuhumiana kuchepuka.

Gentlamans,
Baki njia kuu michepuko sio deal. Tafuta kwa bidii na maarifa sana, ladha kamili ya mwenzi wako kimwili na kiroho, na ukisha ijua na kubaini iliko utaenjoy sana maisha ya ndoa na uchumba.

Nakuhakikishia, hutachelewa kurudi nyumbani mapema, wala hutaweza kuvumilia kukaa masaa kadhaa bila kumsabahi au kutaka kuja yuko wapi mwenzi wako, anafanya nini, anajiskiaje au amekula nini.

Kunywa soda au gambe pekeyako mtaani itakua ni ngumu na karaha.

Utatamani sana unywe soda au gambe mkiwa pamoja na mwenzi wako.

Ndugu, hebu jitahidi sana ubaini ladha na utamu halisi wa mwenzi wako kimwili na kiriho, utainjoy mno nakuhakikishia.

Ukiijua ladha ya mwenzia wako kimwili na kiroho, hutaona ndoa au uchumba ni mzigo, adhabu, au karaha bali ni marashi adhimu matamu yasiyo koma kutoa harufu nzuuurii, laini na isiyochosha puani, rohoni, akilini wala moyoni...

Nakuombea Baraka na neema za Mungu, kwa maarifa na ubunifu ulojaaliwa na Mungu uweze kuibaini ladha mujarabu ya kimwili na kiroho ya mwenzi wako mahali iliko, Ili hatimae ndoa na uchumba wenu ukawe wa upendo furaha na amani daima.

Asante.
 
Nakuhakikishia, hutachelewa kurudi nyumbani mapema, wala hutaweza kuvumilia kukaa masaa kadhaa bila kumsabahi au kutaka kuja yuko wapi mwenzi wako, anafanya nini, anajiskiaje au amekula nini.
Huwa unaandika vitu vya msingi sana Mkuu.

Ulichosema hapo, ndivyo nilivyo mimi na mwenzi wangu.
Je, ndio tumeshaijua ladha yetu ya kiroho na kimwili?
 
Nimekuja mbio nione ulivyoelezea kiroho ila sijaona...

Ukimjua mwenza wako kiroho inafurahisha ila inaweza ikakuhuzunisha...

Maana unaweza ona mabaya yake au mazuri yake ..

NB: Macho ya Rohoni sio mchezo ni lazima uwe na hekima
 
Wapendwa,
Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa.

Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo.

Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa zimeshasambaratishwa na zimwi hili.

Ni fedheha na aibu kwa watoto kushuhudia au kuskia wazazi wao wanachepuka upande ule au upande huu na wazazi wa familia nyingine, pisi kali mtaani au viBen 10.

Ni fedheha watoto, na majirani kushuudia mafarakano na mapigano yasioyoisha ya wazazi wana ndoa au wachumba, kudhihakiana na kudhalilishana hadharani kwa lugha kali za matusi na zisizo na staha, kisa kutuhumiana kuchepuka.

Gentlamans,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
Tafuta kwa bidii na maarifa sana, ladha kamili ya mwenzi wako kimwili na kiroho, na ukisha ijua na kubaini iliko utaenjoy sana maisha ya ndoa na uchumba.

Nakuhakikishia, hutachelewa kurudi nyumbani mapema, wala hutaweza kuvumilia kukaa masaa kadhaa bila kumsabahi au kutaka kuja yuko wapi mwenzi wako, anafanya nini, anajiskiaje au amekula nini.

Kunywa soda au gambe pekeyako mtaani itakua ni ngumu na karaha.
Utatamani sana unywe soda au gambe mkiwa pamoja na mwenzi wako.
Ndugu, hebu jitahidi sana ubaini ladha na utamu halisi wa mwenzi wako kimwili na kiriho, utainjoy mno nakuhakikishia..
Ukiijua ladha ya mwenzia wako kimwili na kiroho, hutaona ndoa au uchumba ni mzigo, adhabu, au karaha bali ni marashi adhimu matamu yasiyo koma kutoa harufu nzuuurii, laini na isiyochosha puani, rohoni, akilini wala moyoni...

Nakuombea Baraka na neema za Mungu, kwa maarifa na ubunifu ulojaaliwa na Mungu uweze kuibaini ladha mujarabu ya kimwili na kiroho ya mwenzi wako mahali iliko, Ili hatimae ndoa na uchumba wenu ukawe wa upendo furaha na amani daima.
Asante.
Amen
 
Huwa unaandika vitu vya msingi sana Mkuu.

Ulichosema hapo, ndivyo nilivyo mimi na mwenzi wangu.
Je, ndio tumeshaijua ladha yetu ya kiroho na kimwili?
Bila shaka madame Nifah
kwa ubunifu wako na kwa kudra za Allah, amekuelekeza mpaka umeibaini vizuri sana iliko ladha ya kimwili na kiroho ya mwenzi wako. Unajihisi kupata hasara masaa ma2 au ma3 yapite bila kujua au kufahamu hali ya mwenzi wako huko aliko. Nae akiwa amebaini ladha yako atajiskia vivyo hivyo. Upendo moyoni, kujaliana na kuhitajiana huwa ni moto mkali sana.

Kutoa machozi ni rahisi sana mwenzi wako akikuarifu kua mathalani anaumwa kichwa au mafua tu. You suddenly feel his or her pains. Unahuzunika sana unatamani umwendee kwa haraka wakati huo huo ukamsaidie, unahisi anaumia sana...

Chemistry hii huwa ni mujarabu sana mbele za Mungu, Familia yenyewe husika na jamii kwa ujumla...
Mungu abariki sana uchumba na ndoa yenu...
 
Mkuu, mbona unatuongelea kama unatujua?
Mpaka nimeogopa!

Siongezi kitu, nashukuru kwa baraka zako.
Mungu akubariki sana.
 
usiogope,
siwafahamu.
Ni Mungu pekee anawajua.
Your chemistry is blessing to all who wishes to look like you in your relationship.

I feel the tone of your expressions,
I feel the tone of your replies
Tupo pamoja, worry out and be blessed much.
 
Mwanamke umpe hata private jet, wahuni watachakata tu 😂 , mshaambiwa wanawake hawaeleweki kwa nini hamsikii?
hawakusikilizi?
Nitakuombea Roho ya kudharauliwa iachane nawe maramoja.

Mwanamume Kamili anaskizwa vizuri na kikamilifu na mwanamke mwaminifu.
Kisha wanaungana na kuwa wamoja kwa upendo, na wanajenga familia kwa furaha na Amani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom