Ugonjwa wa akili kwenye ndoa

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,989
Short story: this is experience nimepata recently,

Kijana kaoa familia ambayo mama wa mwanamke ana matatizo ya akili. ndoa ilikuwa fresh sana amna shida. shida ilikuja wamepata watoto wa 3, 2 wana shida ya akili.

Wanapata convulsion (fit, degedege) za kutosha. wamefanya everything. sasa mume ilimbidi akatafute nyumba ndogo, majukumu yamemashida kabisa.

Familia ikasambalatika, mke yupo kwao na mama yake. na watoto. jamaa anajilaumu why? Anashida kiabo ambazo pesa aiwezi solve.

lastly: HISTORIA YA FAMILIA YA UGONJWA WA AKILI, AKIKISHA UNAIJUA VIZURI KABLA YA NDOA.

UKIWEZA MWANZO TUAAMINI UTAWEZA MWISHO.

Note: Kama huwezi kudeal na watu wa ugonjwa wa akili achana na familia zao. Ukiweza shiriki kikamilifu. wagonjwa hawa ni watu pia.
 
Back
Top Bottom