Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa.
Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
Wakuu habari natumai wazima wa afya.
Ningependa kuuliza hivi gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege kutoka nje ya nchi huwa ni kiasi gani?
Asia, Marekani nk
Asateni. Natanguliza shukrani.
GTs na wadau wote wa JamiiForums kwa ujumla, habarini!
Kabla ya yote, niombe ukaribu wenu hapa katika hiki ninachokwenda kukiwasilisha kwenu. Natumai tutakuwa pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho katika uchambuzi wa kina kuhusiana na teknolojia ya stealth ambayo imekuwa ikisifika hasa katika...
Madirisha ya ndege ni madogo sana, kwa nini wasanifu wa ndege wasisanifu ndege zenye madirisha makubwa?
Usanifu wa muundo wa ndege ni muhimu sana, na unahitaji kuhakikisha ndege inakuwa nyepesi na imara.
Kutoboa sehemu yoyote kwenye ukuta wa ndege kutapunguza uimara wake, na inawabidi...
Hatimae ripoti iliyotoka baada ya uchunguzi wa visanduku vya kunasa sauti ya ndege ya Pakistan airways (PIA) aina ya Airbus A320 iliyoanguka mnamo tarehe 22 Mei mwaka huu 2020 na iliyokuwa imebeba watu 97, kumbe walikuwa wakijadili habari za corona safari nzima.
Majadiliano hayo mwishowe...
Katika pitapita yangu ya kupata habari za dunia, nimekutana na habari ambayo imenishitua sana ikisema ndege za ATR ambazo hapa kwetu zinatimiwa na Precision Airways si salama tena kusafiria, na hata sasa zinaingizwa katika orodha ya ndege mbaya duniani zilizowahi kutengenezwa (the worst planes...
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7).
DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa Vietname kwa daraja la Thanh Hóa. Wakati wa Vita vya Vietnam, wachambuzi wa masuala ya ujasusi wa CIA...
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
Jana waziri wa fedha Mh Mpango amesema serikali imeingia mkataba na mashirika ya ndege ya nje mfano Rwandair na Ethiopian Airline kuweza kusafirisha minofu ya samaki kutokea Mwanza na mbogamboga kutoka KIA kuelekea Ulaya.
Swali dogo: Ile ndege ya ATCL iliyosafirisha nyama ya mbuzi haiwezi...
Hili jambo sijalielewa kabisa, mnisaidie!
Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darini, hasa kwenye baraza la nyumba.
Nina ofisi maeneo fulani ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao...
Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday).
Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
Kwa wale wanaojua masuala ya uhandisi wa ndege pamoja na kuzitunza, wataelewa kwamba hakuna kitu chenye gharama kubwa kama kupaki ndege bila kuitumia. Unapokuwa na ndege ni lazima itumike karibu kila wakati. Gharama za kuitunza ndege iliyopaki ni kubwa sana.
Tulikuwa na shamrashamra za kununua...
Tulimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini
Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na...
Dar es Salaam will be the airline’s first destination in Africa to resume scheduled flights
Airline will operate three weekly flights with an Airbus A320
DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to announce the airline will be resuming services to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020. The...
Marekani imezuia ndege zote za abiria za kutoka China kuingia nchini humo kuanzia tarehe 16 mwezi huu.
====
In a move likely to inflame tensions between the United States and China, the Trump administration said Wednesday it will ban all commercial passenger flights by Chinese carriers.
The...
Kwa waliokaribu na TV tune in TBC 1
======
Ndege ya kwanza ya watalii imewasili nchini ikiwa ni baada ya Rais John Magufuli kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini baada ya kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania.
Tarehe 20, Mei 2020, Mkurugenzi...
Walivyoelezea tu historia ya ujio wa makao Makuu Dodoma na hasa kila mmoja alivyogusia alichokifanya utagundua kabisa wapo pamoja. Kubwa zaidi ni namna walivyozawadiwa zawadi ya ndege. Utasema nini sasa?
Mkulu akaona afanye justification asionekane kajipendelea yeye tu kuhamishia wanyawa kule...
Leo ikulu chamwino mtukufu rais Magufuli amewapa zawadi ya tausi 25 kwa kila moja kwa marais watatu wastaafu na idadi hiyo kwa mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere, nampongeza kwa hilo na ni jambo la kizalendo sana
Lakini nikirudisha kumbukumbu zangu vizuri nyuma nakumbuka mtukufu alimpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.