Nafuatwa na ndege kila mahali, hii ina maana gani?

ZigiZaga

JF-Expert Member
May 18, 2011
942
1,057
Hili jambo sijalielewa kabisa, mnisaidie!

Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darini, hasa kwenye baraza la nyumba.

Nina ofisi maeneo fulani ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao nje ya dari la ofisi yangu.

Kuna boma nimelianzisha sehemu, juzi nimeenda hapo nikakuta miti yote ni viota vya ndege.

Naombeni wadau mnisaidi hii inaweza kuwa nini!
 
Kuna wale Ndege Mwarabu wametapakaa shinyanga mniiji Nzima,Kinyesi chao kina harufu mbaya maana wanakuja wengi sehemu moja,na wakija huruhusiwi kuwatoa maana ni Nyara za serikali, ukiua kesi yake haina dhamana. Duh!hatari sana. Ila ndege ni bahati kwako mkuu ila sasa hawaharibu mazingira?
 
hili jambo sijalielewa kabisa.... mnisaidie!
Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darin hasa kwenye baraza la nyumba.
Ninaofisi maeneo fulan ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao nje ya dali la ofisi yangu.
Kuna boma nimelianzisha sehem,juz nimeendapo nikakuta miti yote ni viota vya ndege.
Naombeni wadau mnisaidi hii inaweza kuwa nini!
Itakuwa wewe ni malkia/mfalme wa ndege,umewakimbia.
 
Tumampicha japo nikupongeze kwa kuwatunza hedge wameona wana ulinzi wa kutosha
 
Namba unipe maujanja ya kuwatunza hak jamaa mm nina sehemu wapo wangu ila wananikimbianjapo nimewawekea chakula na maji
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom