ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ndege zote za abiria kutoka China kuzuiwa kuingia Marekani kuanzia Juni 16 mwaka huu

    Marekani imezuia ndege zote za abiria za kutoka China kuingia nchini humo kuanzia tarehe 16 mwezi huu. ==== In a move likely to inflame tensions between the United States and China, the Trump administration said Wednesday it will ban all commercial passenger flights by Chinese carriers. The...
  2. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

    Kwa waliokaribu na TV tune in TBC 1 ====== Ndege ya kwanza ya watalii imewasili nchini ikiwa ni baada ya Rais John Magufuli kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini baada ya kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania. Tarehe 20, Mei 2020, Mkurugenzi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wanagawiana hadi ndege Tausi, hawawezi kutusikia hao!

    Walivyoelezea tu historia ya ujio wa makao Makuu Dodoma na hasa kila mmoja alivyogusia alichokifanya utagundua kabisa wapo pamoja. Kubwa zaidi ni namna walivyozawadiwa zawadi ya ndege. Utasema nini sasa? Mkulu akaona afanye justification asionekane kajipendelea yeye tu kuhamishia wanyawa kule...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa Mtukufu juu ya Tausi wa ikulu

    Leo ikulu chamwino mtukufu rais Magufuli amewapa zawadi ya tausi 25 kwa kila moja kwa marais watatu wastaafu na idadi hiyo kwa mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere, nampongeza kwa hilo na ni jambo la kizalendo sana Lakini nikirudisha kumbukumbu zangu vizuri nyuma nakumbuka mtukufu alimpa...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

    Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+ Ikulu ya...
  6. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Rocket ni ndege ya aina gani? Je upo uwanja wake hapa Tanzania?

    Swali langu ni kujuzwa kuhusu rocket ni aina gani? Ya ndege Maana naiona sana juu mawinguni inapita inatoa sijui ni moshi ule unakuwa mrefu hivi harafu baadaye unafutika, Je? Uwanja wake upo wapi? Kwa hapa Tanzania Au inatua maeneo gani
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

    Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee. Sasa kirusi kimegonga ikulu na...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yaituhumu Urusi kupeleka ndege za kivita nchi Libya

    Marekani imesema Urusi imepeleka ndege za kivita Libya kuwasaidia mamluki wake wanaopigana upande wa kamanda Khalifa Haftar mashariki mwa Libya. Wakati huo huo, Urusi imesema inaunga mkono usitishwaji wa mapigano Libya Katika tangazo lake lililochapishwa jana, kitengo cha jeshi la Marekani...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya ndege yamepokea dola bilioni 123 kama msaada wakati ya mzozo wa COVID-19

    Serikali mbalimbali duniani zimetoa dola bilioni 123 kuyasaidia mashirika yao ya ndege yaliyoathirika na janga la virusi vya corona, shirika la kimataifa la usafiri wa anga IATA limeripoti jana. Wakati asilimia 45 ya fedha hizo zilikwenda katika ruzuku ya mishahara, gharama za mitaji pamoja na...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la LATAM latangaza kufirisika

    Shirika kubwa la ndege la ‘Latin America’ LATAM limetangaza kufurisika kutokana na kudorora kwa mauzi kulikosababishwa na #COVID19 Sekta ya usafirishaji na utalii dunia nzima imeathiriwa kwa kiasi kikubwa na kufungwa kwa mipaka na zuio la kusafiri lililodumu kwa muda baada ya #CoronaVirus...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mashirika nane ya ndege yametangaza kurejesha safari zao za ndege za kuingia na kutoka mipaka ya Tanzania kuanzia Jumatatu ijayo

    Baadhi ya mashirika hayo yametangaza ndege zake kuanza safari zake Julai mosi kwa kutua Dar es Salaam, KIA, mkoani Kilimanjaro na Zanzibar, Kwa mujibu wa tovuti ya Rick shaw travel group, inayojishughulisha na usafirishaji watalii kwenda kwenye vivutio mbalimbali kwa takribani miaka 32, safari...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii ndege za ATCL ni mpya au ni sababu ya covid-19?

    Wadau nimekutana na hizi picha kwenye moja ya ukurasa wao na sijapata jibu mujarabu kama hii ni moja kati ya zile ndege zilizopo so wamebuni njia mpya ya kuingiza amafaranga au ni mpya na ndiyo maana viti bado vina nylon? Wataalam tujuzane...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Italia: Safari za ndege zitaanza kuruhusiwa Juni 3

    Nchi ya Italia imeazimia kuruhusu safari Juni 3, moja kati ya hatu ya kufungua uchumi baada ya kufunga nchi hiyo kuepuka maambukizi ya #CoronaVirus tangu Machi 9, 2020 Watu wataruhusiwa kutoka mkoa mmoja hadi mwingine. Aidha kuanzia Mei 18 hawatahitaji kuwa na sababu ya kusafiri au kutembea...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliokuwa India wamewasili salama na kuchukuliwa vipimo vya Corona uwanja wa ndege majibu watapewa kesho

    Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama. Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa mkoani Dodoma baada ya kupatiwa mkopo wa kugharamia ujenzi huo?

    Wakati ujenzi wa uwanja wa mpira kwa ufadhili wa mfalme wa Morocco ukiwa hauelewiki maana hakuna kinachoendelea site, naomba kujuzwa ni nini kinaendelea kuhusu ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika eneo la Msalato mkoani Dodoma. Nakumbuka iliripotiwa kuwa mkopo wa shilingi...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

    Imeshatua wakuu, tusubirie dawa. Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo. UPDATES Hatimaye Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhiwa mzigo wa kutosha kabisa wa COV tayari kuuleta Tanzania kuanza kutumika kwaajili ya Covid 19.
  17. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nauli ya kutoka Uganda kwenda Juba kwa ndege ni UGshs ngapi?

    Mada tajwa hapo yahusika Hivi nauli ya ndege toka Kampala/Entebbe kwenda Juba ni UGshs ngap?
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mumbai: Ndege aina ya flamingo watanda, kwa kuwa watu wamejifungia ndani

    Ndege aina ya Flamingo wamepata uhuru wa kucheza katika mji wa Mumbai kwa kuwa watu wako katika kipindi cha zuio. Kawaida ndege hao huvamia miji hiyo kuanzia mwezi September hadi Mei, kwa mwaka huu wameonekana kuwa wengi zaidi Imeripotiwa kwamba wamekuwa wengi kwanye maeneo ambayo mwanzo...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania This song has power over all demons

    If you play this song to a person who is possessed by evil spirits, the evil spirits will leave him immediately. If your house or premise is harrassed by evil spirits then pray this song and the evil spirits will delay not to promptly leave Ur house. Another virtue of this song is that if u...
  20. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KQ Yaamua Kung'oa Viti na Kugeuza Dreamliner Zake Kuwa Ndege za Mizigo

    Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana ya safari za charterd cargo flights . KQ inazo ndege ambazo ni spesheli za cargo lakini kwavile...
Back
Top Bottom