ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua Dar kwa sababu mashirika mengi ya ndege yamesimamisha safari

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua katika uwanja wa ndege wa JNIA kwa kuwa mashirika ya ndege ya kimataifa yamesimamisha safari. Makonda ameyataja mashiirika hayo kuwa ni pamoja na KLM, Emirates , SAA , KQ, Ethiopian Airlines na Qatar...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yasimamisha safari za ndege za Kimataifa

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesimamisha safari zote za ndege kutoka nje ya nchi zikiwemo zinazoleta watalii. Serikali imechukua uamuzi wa kuzuia ndege za watalii ili kulinda maisha ya watu wake japokuwa uamuzi huo una athari kubwa kiuchumi. Waziri wa utalii mh Kombo amesema wageni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  4. displayname

    JamiiForums Tanzania Ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) yatua kwa dharura uwanja wa ndege wa Arusha

    Pana tetesi kwamba ndege ya shirika la ndege ya kenya ikiwa inatokea Lusaka Zambia, imeshindwa kutua uwanja wa ndege Jomokenyatta na hatimae kutua kwa dharura Arusha airport. Wenye kufahamu zaidi hili sakata watujueze isijekuwa kuna namna. Kama ni dharura kwa nini asingetua Mombosa au KIA...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama tunaendelea kuruhusu ndege kuingia nchini, serikali izuie ibada na mikusanyiko mingine yote isiyo ya lazima ikiwemo kudhibiti masoko

    Wakati baadhi ya nchi za wenzetu sasa zimefikia hatua ya kudhibiti raia wake kwa kuwataka wabakie majumbani, kufunga mashule na vyuo, kupiga marufuku mikusanyiko ya michezo kama soka, kufunga mipaka n.k zikiwa ni hatua za kudhibiti kusambaa kwa Corona, sisi tume-relax tukiamini udhibiti...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Marekani yazuia Ndege kutoka Ulaya kutua Marekani isipokuwa Uingereza tu ndo imeruhusiwa ndege zake kutua Marekani

    Tukiwaambia Corona saa hz ni tishio Angalia Jana Ufaransa imezuia mashabiki wa PSG kwenda Uwanjani Uingereza imetoa €30 billion kuzuia athari za kiuchumi Angela Mekel amesema ugonjwa huu unaweza kuambukiza 75% ya watu usipozuiriwa China itatoa $40 billioni kufidia athari za kiuchumi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Marekani kuzuia ndege zote kutoka Ulaya isipokuwa Uingereza, kwa siku 30

    Rais Trump amesema hatua hiyo ni katika kujikinga na kusambaa kwa virusi vya corona. Pia amewashauri Wamarekani mwenye umri mkubwa kuepuka kusafiri ikiwezekana Zuio hilo la Wasafiri kutoka Ulaya litakaloanza Kesho Ijumaa Machi 13, 2020 na kudumu kwa siku 30 halitawahusu Wasafiri kutoka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yasitisha safari zote za ndege kutoka Italy

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje. Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani. Source Star tv!
  9. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Jijini Nairobi yafuta uamuzi wa Kenya Airways kumsimamisha kazi Mfanyakazi aliyerekodi Ndege ya Wachina ikitua JKIA

    Kenya Airways’ decision to suspend employee Gire Ali has been voided by a Nairobi court after he moved to court to challenge the move. At the same time, the court also stopped the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) from arresting and charging Mr. Gire. Gire, an Assistant...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege unaojengwa Dodoma ni wa hovyo hauna hadhi ya kuwa wa Kimataifa. Je, ufikiri na maono(vision) ya viongozi wetu una walakini?

    Nimesoma kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa utagharimu dola za kimarekani 272 Millioni. Details zinaonyesha kuwa uwanja utakuwa na uwezo wa kupitisha watu Milioni moja tu kwa mwaka (1,000,000 passengers). Hicho kiasi cha abiria kwa mwaka ni kidogo sana kulingana na gharama za pesa hizo. Dodoma...
  12. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Na ndege vita hii unatunguliwa hata na gobole

  13. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Filamu za kutangaza utalii wa Tanzania kuonyeshwa kwenye ndege 300 duniani

    Dar es Salaam.Balozi wa Indonesia nchini Malaysia, Rusdi Kirana amekubali kuonyesha filamu za kutangaza za utalii wa Tanzania kwenye ndege 300 zinazofanya safari kwenye zaidi ya nchi 50 duniani. Balozi Kirana ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki mashirika ya ndege ya Lions Group...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu wawili wafariki baada ya ndege ya jeshi kuanguka

    Watu wawili wamethibitishwa kufa baada ya ndege ya jeshi la watu wa Uganda kuanguka katika mji wa Gomba. Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Uganda, Brigedia Brigedia Richard Karemire, amesema ndege ya jeshi AF 302 ilikuwa kwenye na watu hao kwenye mafunzo. “Ilikuwa na watu wawili...
  15. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria yaanguka nchini Afghanistan

    Ndege ya abiria yaanguka Afghanistan, maafisa wanasema. Ndege hiyo ilianguka katika eneo la Deh Yak wilaya ya Ghazni, kusini magharibi ya mji wa Kabul, msemaji wa mkoa ameambia vyombo vya habari. Ndege hiyo alianguka na kushika moto kutokana na hitilafu ya kiufundi, msemaji huyo alisema...
  16. malisoka

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Tanzania: Shirika la ndege la South Africa limefilisika

    Shirika kongwe la ndege la Afrika Kusini, limetangaza kufuta safari zake za nje ya nchi na baadhi ya safari za ndani, kutokana na kuishiwa fedha za uendesheji shirika linalozalisha hasara kwa miaka 9 mfululizo hadi sasa. Shrika hili liliopata tuzo mbalimbali kwa ubora na huduma nzuri afrika na...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moto wa nyika Australia: Wamarekani watatu wafariki dunia katika ajali ya ndege wakiwa katika harakati za kuzima moto

    Ndege inayotoa msaada kwa kuzima moto kwa kutumia maji dhidi ya moto wa nyika Januari 10, 2020 huko Penrose, New South Wales, Australia. Ndege iliyokuwa ikitoa msaada wa kuzima moto kwa kutumia maji kwa minajili ya kukabiliana na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Iran: Nchi zilizopoteza raia katika ajali ya ndege zadai fidia

    Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia. Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Iran yawakamata walioidungua kimakosa ndege ya Ukraine

    Serikali ya Iran imetangaza kuwakamata watu kadhaa waliohusika kulipua kombora kimakosa na kuangusha ndege ya Ukraine. Tukio hilo lilisababisha watu wote 176 waliokuwapo ndani ya ndege hiyo kufariki wakitokea Uwanja wa Ndege wa Tehran. Tangazo hilo limetolewa leo Jumanne Januari 14 muda mfupi...
Back
Top Bottom