Marubani wa ndege ya Pakistan iliyoanguka walikuwa na kiwewe cha corona

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,098
10,785
Hatimae ripoti iliyotoka baada ya uchunguzi wa visanduku vya kunasa sauti ya ndege ya Pakistan airways (PIA) aina ya Airbus A320 iliyoanguka mnamo tarehe 22 Mei mwaka huu 2020 na iliyokuwa imebeba watu 97, kumbe walikuwa wakijadili habari za corona safari nzima.

Majadiliano hayo mwishowe yaliwafanya wakose umakini wa kuongoza ndege kutua na hata kufuata maelekezo na ushauri wa waongoza ndani wa ardhini.

Hofu ya corona iliyojaa mioyoni mwao ilipelekea ndege kuanguka karibu kabisa na uwanja wa ndege.

Pilots in Pakistan air crash distracted by coronavirus worry, minister says

1593002574271.png
 
Na vipi ile ripoti ya mara ya kwanza inayosema kwamba kulikuwa na hitilafu kwenye mfumo wa injini.
 
Na vipi ile ripoti ya mara ya kwanza inayosema kwamba kulikuwa na hitilafu kwenye mfumo wa injini.
Au wamepokea kitu kutoka Airbus kwa sababu Airbus hawataki kuingia nuksi kama ya Boeing.
Afadhali hivyo.Ajali ishatokea tayari kipi watafanya kingine.
 
Sasa wa kulaumiwa Rais wao kwanini hakuwaondoa hofu wananchi wake wauzoee ugonjwa kama alivyofanya magufuli mpaka wanaangusha ndege,hovyo kabisa.
Pakistan ilikuwa nchi ya mwanzo kukataa lockdown Kama hujui!
Sikia Imran Khan alisema kwamba watu wa taifa lake ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni ili wale! Hivyo haoni haja..
Sidhani au kukumbuka Kama lilibadilishwa hili
 
Ha ha ha ha,,, sometime kwenye dunia ya ujasusi na uchumi Hilo NI Jambo la kawaida. Hivi unajua wakisema injini ilikuwa tatizo biashara ya ndege hizo itapungua?
Safi endeleeni kutumia akili Pana.
Mwisho kabisa lingekuwa dege la kirusi ungesikia meengi kutoka BBC, Afp, fp, Reuters
 
Back
Top Bottom