Jumla ya nchi 126 zimefunga anga zao hakuna ndege kupaa wala kutua, wale watalii wa hadi Agosti wanatokea wapi? Kwa kupitia anga lipi?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
IMG_20200618_153850.jpg
 
Kama ni kweli basi mwaka huu mafuta ya petrol tutanunua mpaka Tshs.500 kwa lita...
 
Ushauri wa bure kunywa sumu ufe ili kuonyesha msisitizo huupendi huu Utawala wa CCM.

Mtu katoa wazo au kaliza swali, ni jambo jema tu kumjibu au kumpa maelezo juu ya swali lake. Hajazungumzia habari za ccm.

kuleta mambo ya vyama au ushabiki wa kisia kwenye vitu muhimu vinavyogharimu uchumi na maisha ya watu si vizuri.
 
Hata kama we wangekuwa anga zao hawajafunga, hii ya ugonjwa kwisha, mara unapungua tokea 4 hadi 66. Labda tutegemee watalii tokea Ukraine, Kenya, Uganda, Zambia au Rwanda ambako hata kutuona tu kama watanzania au mgeni tokea kwetu hawataki kusikia.
 
Mbona kuna ndege tayari ambazo zilionyeshwa zikiteremsha watalii. Kama huamini taarifa kwamba kuna wengine zaidi waliofanya booking mpaka Agosti, si uende tu hapo uwanjani uwahoji wanaoingia wanatokea wapi kwa kuwa nchi 126 zimefunga anga zao.
Dogo uko shallow sana bora unyamaze
 
Back
Top Bottom