ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania COVID-19 yaendelea kuleta kizaazaa: Tanzania yazuia kampuni tatu nyingine za ndege kutoka Kenya kutua nchini

    Mgogoro wa majirani unazidi kupamba moto, Covid19 inaendelea kudhihirisha nyufa nyingi zilizokuwepo kwenye ukuta wetu. Leo mamlaka ya anga imeshusha rungu jingine Kenya kwa kuzuia kampuni tatu zaidi baada ya Kenya Airways ya awali. ======== Kampuni tatu zaidi za ndege kutoka Kenya zimezuiwa...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A

    Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  3. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Wananchi Igingilanyi walia na Serikali kuhusu malipo duni ya fidia za nyumba zao kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Iringa

    Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vibaka kwenye ndege hasa Ethiopian na Kenya Airways

    Inakuwaje wanaJF! Yani kuna watu wanawaibia abiria Wenzao hadi kwenye ndege? Matukio ya wizi kwenye ndege ikiwa angani yanaripotiwa sana hasa Ethiopian airlines na Kenya Airways zinazoenda Dubai ama gulf states na China. Vibaka wengi wamebambwa na flight attendants wakiwa search abiria...
  5. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Ifahamu ndege aina ya Concorde

    Moja kati ya mafanikio ya karne ya 19 yalikua ni hii ndege. Makubaliano ''concord" kati ya serikali mbili ya Uingereza na Ufaransa ndio yaliozaa wazo la kutengeneza hii ndege na wakakubaliana waipe jina la kifaransa la Concorde yaani maana yake makubaliano(concord). Ilikua na uwezo wa kubeba...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli flyovers na ndege zetu hazina msaada wowote kwa mwananchi anayeishi Nanyamba au Kyabakari?

    Salamu kwenu, Kumekuwa na kelele nyingi kuwa ndege zetu hazina maana yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Watu wanaenda mbali zaidi kuhoji ikiwa flyovers za Dar es Salaam zina umuhimu wowote kwa watanzania waishio vijijini, mikoani huko. Ukiangalia hizi hoja, unapata picha mbili. Ya kwanza ni kuwa...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM wapewe elimu kuelisha wananchi manufaa ya ununuzi wa ndege

    Kuna baadhi ya makada wapewe mafunnzo namna ya kunadi mazuri ya yaliyofanywa na awamu hii ya 5
  8. CHE GUEVARA-II

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya nauli ya ndege Tanzania (Dar) - Namibia (Windhoek)

    Wadau, habari zenu? Naomba kujua aina ya ndege (flight) inayoweza kunipatia huduma ya kusafiri toka Tanzania (Dar) kwenda Namibia (Windhoek). Ni aina gani ya flight? Nauli ni kiasi gani (one way, go & return)? Wakala gani anaweza kunisaidia? Contact number ya wakala? Assuming all other...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Walidhani wananchi wanataka ndege kumbe wananchi wanataka uhuru kwanza

    Kati ya Jambo linaloigharimu CCm kila siku Ni kuwekeza kwa Mwenyekiti na dola kuliko kuwekeza kwa wananchi. Wananchi kwa namna Hali ilivyo wanatambua hata ungekuwa na utajiri mkubwa kiasi gani lakini watu wakakosa Uhuru ipo siku utajiri huo utapotea. Tunajenga vitu na ni Jambo jema ila...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana

    Nimefungua nimeona trending route Ni dar ,Kilimanjaro to all over the world. Nimefikiria ndugu zetu Kenya si watashikwa na tumbo la kuhara, kwakweli tumefungua dunia
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Bombardier Q400 kuanza safari zake za kuruka na kutua katika Uwanja wa ndege Songea

    Serikali imesema ndege aina ya Bombardier Q400 itaanza safari zake za kuruka na kutua katika Kiwanja cha ndege cha Songea ifikapo Septemba mwaka huu ili kufungua fursa za kiuchumi na kijamii. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ameyasema hayo akiwa mkoani Ruvuma...
  12. Requal

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na maboresho makubwa yaliyofanyika uwanja wa ndege wa KIA, unavutia sana

    Sijatua hapa KIA tangu 2016. Jana nimetua hapa kwa mara nyingine. Kama ningezibwa macho nikasafirishwa mpaka hapa then nikaachiwa nione bila matangazo na mabango yaliyoko hapa kwa haraka haraka nisingeweza kutambua kama pale nilipokuwa ni KIA, asimilia kubwa ya miundombinu imeboreshwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  14. joss1973

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kuzuia Serikali isinunue Ndege kwawaponza upinzani kupata misaada toka nje

    Mataifa ya nje ukiharibu biashara zao wanakuwekea vikwazo na kukunyima misaada Safari mataifa ya ulaya na Marekani wamegoma kutoa misaada ya Hali na Mali kea vyama vya upinzani Tanzania Baada ya wao kupinga bungeni na nje ya bunge kuwa serikali isinunue Ndege za bombarier na Boeing Sasa hivi...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

    Ilipotolewa orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuingia Kenya, na humo Watanzania wakaona zao hazimo, jamaa wamelialia sana ikiwemo hata wale ambao hawajawahi kukaribia uwanja wa ndege na wala hata siku moja hawategemei kuiona ndege wachilia mbali hata kuabiri. Taifa lote kuanzia walalahoi mitaa ya...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

    Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka, wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi...
  18. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kenya yaanza kulia lia, yadai haikuzuia ndege za Tanzania badala yake walitaka watu kutoka Tanzania wakitua Kenya wawekwe Karantini

    Tanzania na Kenya wafafanua suala la kuzuia Ndege Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA), Hamza Johari, amesema kuwa sababu iliyopelekea na wao kuzizuia Ndege za Kenya kutua nchini ni baada ya nchi hiyo kuzuia ndege za Tanzania kutua kwao na kuongeza kuwa hali ya namna hiyo ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimtongoza Mwanamke ndani ya Ndege anakukubalia kiurahisi mno kuliko ukimtongoza katika basi?

    Kwani Ndege ina 'Hirizi' gani kwa Mwanamke hadi hakukatalii na Basi lina ' Nuksi ' gani kwa Mwanamke hadi anakuwa Mgumu Kukubalia Upendo?
  20. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini "Wakimwaga ugali tunamwaga mboga" "Magufuli baba lao"
Back
Top Bottom