Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania....
Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote....
Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha...
Niliwahi kuona nyumba ya Bill Gate kwenye TV documentary, milango inafunguliwa kwa remote control na moja ya sebule Ina aquarium.
Leo anakuja kukaa na famila hii, nyumba za nyuma ya picha ni dhahiri ndiyo uhalisia wa makazi ya familia hii.
Nyuma ya hii picha kuna uoto mzuri wa kijani. Ni...
Kwa sasa sina shaka kabisa kuwa Rais Magufuli kila akizungumza mara nyingi ni lazima aache upepo mbaya wa kauli za maudhi kwenye jamii. Hilo sasa halina tena mjadala.
Sasa kwa muda huu Rais Magufuli anazungumza hayo akiwa peke yake na hakuna majibizano ya dhahiri kutoka upande wa pili...
Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
Nawaomba mnisome hapa:
Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na...
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.
Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka...
Ukienda Marekani ukaanza kusifu ujamaa wa Karl Marx na sera za kupinga ubepari watakuvumilia kwa muda tu wakiona unaanza kupata ushawishi watahakikisha unapotea. Ubepari na ubeberu ndio sera iliyoletea nchi yao maendeleo na kua tajiri kuliko nchi zote duniani.
Vivyo hivyo kwa Uingereza...
Mawazo zaidi ya kibinafsi hasa kwa vijana kutoka moyoni.
Mimi kama Mtanzania ambaye ni diaspora najaribu sana kujitafakari na kuhakikisha najua nilikotoka na sisahau nilikotoka. Lakini swali kubwa kubwa sana ambalo kila Mtanzania anatakiwa kujiuliza ni je leo ukienda mbele ya haki kwa Mungu...
Kwa maoni yangu wakati Hayati Mzee Mkapa akiingia madarakani mwaka 1995 alianza na Mikakati ya kuweka mifumo mbalimbali ambayo hadi sasa imekuwa endelevu. Kipindi hicho ndicho kiliibua Maboresho katika Utumishi wa Umma.
Hii iliendana na dhana ya ajira kwa kuzingatia sifa pamoja na kuibua...
Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus
Amesema wananchi wanatakiwa kufurahia kuwa Serikali haifichi kitu chochote na imekuwa ikiwaambia wananchi ukweli kuhusu hali ya mlipuko huo...
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?
Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?
Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so...
Nimemsikiliza mheshimiwa Rais Magufuli siku hizi za karibuni, linapokuja suala la COVID-19 akizungumza anatuma meseji kwa umma kuwa hili suala tumeshalidhibiti na siyo tatizo tena kwetu.
Jitihada za waziri wa afya na waziri mkuu kuhusu kuuelimisha umma kuhusu hali halisi ya ugonjwa wa corona...
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa...
Mabibi na mabwana,
Mtanzania mwenzetu aliyeondoka akiwa "mfu", hatimaye amerejea leo salama salimini nyumbani Tanzania.
Jambo la heshima kubwa sana kwetu sisi sote ambao ni wana halisi wa nchi hii na wazalendo.
Tumeshinda!
Tumeshinda sote tuliofanikisha kurejea kwa mwana huyu wa nchi hii...
Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA
Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote
Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
Na sio hayo tu, hata upigaji wa kura za maoni kweny vyama vya siasa unaendelea. Sasa kwanini watu kwenda kumpokea mgeni/kiongozi wao ndio iwe tatizo?
Ni wapi CHADEMA wamesema wataandamana?
Kukutana airport huku kila mtu akitokea nyumbani Kwake, ndio kuandamana au ndio kufanya mkusanyiko usio...
Habari,
Kwa kweli Mimi huwa sioni umhimu wa viongozi wakubwa kuibuka na kutangaza siku kadhaa za maombolezo badala ya kutangaza siku za kupumzika na kuomboleza.
Yaani unatangaza watu waomboleze harafu watu hao hao unawataka kesho waamkie ofisini. Watu tuko katika msiba mzito halafu unatangaza...
Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani.
Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.