nchi

  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

    SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba. DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au Mwanamitindo kutoka Nchini Marekani au Uingereza au Miss kutoka Miss World. G9ty. JIPANGENI UPYA.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  3. Bishop Hiluka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi 10 kati ya 54 za Afrika na 72.19% ya GDP, bado tuna safari ndefu

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa uchumi wa nchi za Afrika unaendelea kuwa imara; ukuaji halisi unaongezeka, ikiashiria uwepo wa sera madhubuti za uchumi jumla, maendeleo mazuri katika maboresho ya miundo (hususan katika uboreshaji wa miundombinu), na mifumo ya sera nzuri na madhubuti kiujumla...
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano Mkuu kura zote kwa Magufuli kuelekea nchi ya Maziwa na Asalia

    Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi aliyoibakiza kwenye ilani 2015-2025 na kuanzisha miradi mipya ili kuongeza kasi ya kwenda uchumi wa...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tuligeuze wazo la mchina la kusambaza Bonanza nchi nzima kuwa fursa kwenye biashara

    Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu. Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama...
  6. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola endeleeni kuwa macho. Kuna baadhi ya watanzania wenzetu wamedhamiria kuiingiza Nchi katika machafuko ya kisiasa

    Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu. Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao. Jambo la hatari sana! Kwa viashiria hivyo, naviasa vyombo vya...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

    Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa Taarifa kutoka Ikulu imesema “Mkoa wa Analamanga, ambapo Mji Mkuu unapatikana, unarudishwa kwenye...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bunge la Awamu ya 5 lilikuwepo kutimiza muundo wa nchi tu

    Katika umri wangu mdogo nimepata kulijua bunge la Spika Samuel Sitta, Mama Anne Makinda na sasa Job Ndugai. Pamoja na changamoto za kubinya upinzani katika mabunge yaliyopita lakini angalau yaliweza kuwa wazi na kuisimamia serikali. Kashfa mbalimbali zilizoibuliwa na wabunge kwa kushirikiana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Kuu Tano (5) za Bernard Kamillius Membe Zinazoonesha kwamba hafai kuwa Rais wa Nchi

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu Bernard Membe katika harakati zake za kuutafuta Urais wa JMT. Kwa sasa nimefanikiwa kung’amua sifa zake tano (5) ambazo binafsi naona kabisa kuwa zinamfanya asiwe mtu sahihi kwa nafasi hiyo kubwa na takatifu. Sifa hizo ni...
  10. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha bangi ni fursa yenye hatari kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za kulevya kama vile Cocaine, Heroinna dawa nyingine kama hizo umepungua sana. Mwaka 2017 Lesotho...
  11. Cicero

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs. Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma...
  12. Zitto

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
  13. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuajekuaje kati ya mamilioni ya watu, unaibuka kupata bahati ya kuwa Rais wa Nchi?

    Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa, Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje...
  14. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili zote kuwa endapo kutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, umoja wa Upinzani unaweza kuchukua nchi Oktoba 2020

    Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni mkubwa sana pamoja na uwepo wa vitisho kutoka vyombo vya dola. Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo...
  15. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  16. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
  17. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

    Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia. Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani? Nisaidieni kwa hili.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Tanzania kuingia nchi za uchumi wa kati, bado inaendelea kuwa katika kundi la Nchi Masikini Kuliko Zote Duniani (LDC)

    NI kweli hakuna cha kushangilia wala kujisifia kwamba sasa tumekuwa katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati. Kumbukeni kwamba watu hao hao wanaosema Tanzania sasa iko uchumi wa kati, ndio wanaotoa vigezo vya kuendelea kuiweka Tanzania katika kundi la Nchi Masikini Kuliko zote Duniani (LDCs)...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani nchi kuhamia kundi la nchi zenye uchumi wa kati?

    Ninavyojua mimi kuna nchi ambazo hazitaki kuhamia huko kwa sababu ukishakuwa huko unajiondoa kwenye kundi la nchi zinazotakiwa kusaidiwa na kupata misamaha baadhi na unahamia haraka kwenye kundi la nchi zinazokopesheka. Kwa maana hiyo Tanzania imepata sifa ya kuwa nchi ya kupata mikopo zaidi...
  20. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020: Watanzania mnaokaa nje ya nchi acheni uzembe, rudini kuchagua Rais na viongozi wengine

    Dada na kaka zangu mlio nchi za nje, mtapoteza haki yenu ya kuchagua viongozi hadi lini, jitahidini mrudi nyumbani Tanzania October hii mpige kura ili muache kulalamika kwa kuchaguliwa viongozi msiowataka. Mkija msitusahau kuja na zawadi ya Pizza na baga,pia mje na wajomba na shangazi wetu...
Back
Top Bottom