Kwanini nchi nyingi hupenda kutangaza siku za maombolezo na siyo siku za mapumziko ili kutoa heshima?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Habari,

Kwa kweli Mimi huwa sioni umhimu wa viongozi wakubwa kuibuka na kutangaza siku kadhaa za maombolezo badala ya kutangaza siku za kupumzika na kuomboleza.

Yaani unatangaza watu waomboleze harafu watu hao hao unawataka kesho waamkie ofisini. Watu tuko katika msiba mzito halafu unatangaza waomboleze wakiwa ofisni wakichapa kazi.

Kama viongozi wanakuwa wameona hakuna sababu ya kutangaza siku za mapumziko. Ni Bora wasitangaze hata siku za maombolezo maana hata usiposema tutaomboleza tu.
 
Acha uvivu chapa kazi
 
Back
Top Bottom