Baadhi yetu tumetoa michango hapa juu ya umuhimu wa kurekebisha mifumo inayoendesha nchi hii mf katiba, Sheria na mifumo ya utawala ili kujenga taifa la kisasa,linalokwenda na wakati na taifa inclusive kwa maana ya kuwashirikisha wananchi wake kujitawaka vema.
Kwa mfano Ni Jambo lisilo na...
Angalia video hii ujifunze kuhusu matatizo ya Tanzania na mtatuzi wake, jinsi wapinzani wanavyotupotosha. Angalia kabla ya kukurupuka kujibu pumba.
------
Katambi amedai Lissu sio mtu sahihi sana kwani anamfahamu vyema. Katambi anasema Lissu ni mpotoshaji kwamba matatizo ya Tanzania...
Tukisoma historia, utaona kuwa nchi yetu imepita katika vipindi kadhaa vya uongozi baada ya uhuru
1. Kuna Serikali huru chini ya waziri mkuu Nyerere iliyodumu kwa miezi mitatu baada ya kupata uhuru
2.Kuna serikali iliyofuata baada ya Nyerere kujiuzulu kwenda kuimarisha TANU iliyoongozwa na...
Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini.
Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 30 ikitegemea fedha za mabeberu ili iweze kujikidhi
Tuna elewa msingi wowote ule wa taifa...
Rais Magufuli anatarajia kukabidhi Uenyekiti wa SADC. Yapi maoni yako kwa kipindi alichohudumu katika nafasi hii. Je, atakumbukwa kwa mazuri yapi aliyoyafanya katika jumuia hii ya SADC ambayo yameleta tija kwa nchi wanachama?
N.B. Mimi nilikuwa nimeshasahau Kama Rais wetu ndiye Mwenyekiti wa...
Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi
Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki?
Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wana uwezo wa kuangalia wanyama...
Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo.
Ni chuo gani kilicho Bora na Cha uhakika?
Mafunzo yanapatikana kwa muda gani?
Ni majira gani ya kufanya...
Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.
Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai na kutufanya tuione siku ya leo.
Kuna jambo moja hapa nalileta kwenu wadau ili tulifanyie analysis kwa pamoja, ambalo linamhusu huyu dogo, I think you understand whom I'm referring to. Dogo kasema kazunguka sana katika nchi za Ulaya na...
Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene
======
Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje?
Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
Tunayo mito, maziwa na bahari.
Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka!
Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia...
Wakuu asalaam.
Binafsi naamini siasa ni sayansi na wanasiasa ni lazima wawe wanaweza kuimonitor na kuiishi sayansi hii ya siasa. Ili MTU yoyote aweze kuungoza umma wa watanzania ni vyema akawa amesoma na kuhitimu angalau taaluma zifuatazo
1. Sheria
Hii ni kwa maana kuwa sheria ndo nguzo kuu ya...
Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana.
Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.
Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri...
Ukiangalia historia ya zamani katika kipindi ambacho Wayahudi walikuwa wakiishi chini ya sheria ya Musa, kulikuwa na kikundi cha Mafarisayo ambao walikuwa na namna ya usimamizi juu ya jumuiya ya Wayahudi, pamoja na Sheria ya Musa. Hivyo sheria ya Musa ilikuwa ndio katiba ya taifa la Wayahudi...
Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu.
Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu haujajipanga.
Najaribu kuangalia hoja ya ushirikiano iliyoletwa na Maalim Seif kwenye mkutano mkuu...
Huenda uliposoma kichwa cha habari ukawa umejipanga kuja kunikosoa haraka kwamba nchi ina hifadhi nyingi za wanyama, mafuta, gesi, madini yaliyojaa tele nchini na hata kuwa na Tanzanite ambayo ipo hapa tu duniani kote, mlima kilimanjaro na vitu vingi ardhi hii iliyosheheni rasilimali.
Umaskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.