Wakati nchi ya jirani imerekodi visa 15,601 vya korona, Tanzania inapaswa kuchukua tahadhari kwenye mipaka yake

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,784
2,000
Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani.

Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la Watanzania, tunaweza kujikuta tunarudi kule kule tulikotoka.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,871
2,000
Nimesema hili mara nyingi tu, ifahamike Kenya tumeamua hatutajichokea kwa umaskini kama Tanzania, muhimu sana mkafahamu corona bado haipo sana Kenya kihivyo, hii hali tukiamua kuificha kama Tanzania inafichika tu, maana vifo vyenyewe tangu corona itajwe vimefika 200 kwa miezi yote hiyo, ni idadi ya vifo ambavyo vinaweza kufichika kama tungekua nchi maskini isiyowajali watu wake, pia waliopimwa na kukutwa nacho mpaka sasa ni 15,601 na wengi kati yao hawana dalili, ni ile tu walipimwa kisa waliwahi kuhusiana na walioumwa na kugunduliwa.

Kwa kifupi, nashukuru sana serikali yetu kwka jitihada zake za kuendelea kupima kupima kupima na kutolea taarifa ili tusiishi kwa kujidanganya kama wanavyofanya Watanzania, ni bora sana kupambana na hali badala ya uishi maisha ya kujichokea na kujiaminisha vitu vya hovyoo. Corona ipo, sema kwa Tanzania imewekwa kuwa aibu kwamba hata ukiumwa inabidi uifiche na kuifanya siri ya ndani, majirani wakigundua wanakunyanyapaa, maisha ya hovyoo sana kwa kweli halafu ni sera kabisa serikalini.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,917
2,000
Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee...
Utoaji wa taarifa hizi unatia mashaka sana na probably kusababisha hofu unnecessarily. Kama Kenya wapo serious na hawapolitisaizi jambo hili, taarifa zao ziwe detailed (labda zipo na hatujui pa kuzipata..)

Kati ya hivyo visa 15,601: wangapi wamepona kabisa na kurudi home na sasa wanadunda fresh tu?, wangapi walifariki na wangapi bado wapo hoi kabisa hospitalini.

Kati ya hivyo visa vipya 700: Wangapi "walijipeleka" wenyewe kupimwa na hawana dalili zozote, wangapi wapo hospitalized kwa uangalizi wa kawaida, wangapi wapo ICU under ventilators?

Harafu hizi figure might be misleading. Huenda wanajumlisha watu waliopima hata mara tano peke yao tu. Ndio maana hata baadhi ya Nchi za mabeberu wanafikiria kuacha kutoa figures
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,871
2,000
Utoaji wa taarifa hizi unatia mashaka sana na probably kusababisha hofu unnecessarily. Kama Kenya wapo serious na hawapolitisaizi jambo hili, taarifa zao ziwe detailed (labda zipo na hatujui pa kuzipata..)

Kati ya hivyo visa 15,601: wangapi wamepona kabisa na kurudi home na sasa wanadunda fresh tu?, wangapi walifariki na wangapi bado wapo hoi kabisa hospitalini.

Kati ya hivyo visa vipya 700: Wangapi "walijipeleka" wenyewe kupimwa na hawana dalili zozote, wangapi wapo hospitalized kwa uangalizi wa kawaida, wangapi wapo ICU under ventilators?

Harafu hizi figure might be misleading. Huenda wanajumlisha watu waliopima hata mara tano peke yao tu. Ndio maana hata baadhi ya Nchi za mabeberu wanafikiria kuacha kutoa figures.

Taarifa za waliopona mbona hutolewa kila siku, ukiwa na nia ya kufahamu zipo, waliopimwa, waliopona, waliofariki, jinsia, umri na kadhalika. Hatuoni sababu zozote za kuficha.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,917
2,000
Taarifa za waliopona mbona hutolewa kila siku, ukiwa na nia ya kufahamu zipo, waliopimwa, waliopona, waliofariki, jinsia, umri na kadhalika..... Hatuoni sababu zozote za kuficha.
Wanazitoaje? Kuna dedicated public link? please share
 
ponopono

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
648
1,000
Nimesema hili mara nyingi tu, ifahamike Kenya tumeamua hatutajichokea kwa umaskini kama Tanzania, muhimu sana mkafahamu corona bado haipo sana Kenya kihivyo, hii hali tukiamua kuificha kama Tanzania inafichika tu, maana vifo vyenyewe tangu corona itajwe vimefika 200 kwa miezi yote hiyo, ni idadi ya vifo ambavyo vinaweza kufichika kama tungekua nchi maskini isiyowajali watu wake, pia waliopimwa na kukutwa nacho mpaka sasa ni 15,601 na wengi kati yao hawana dalili, ni ile tu walipimwa kisa waliwahi kuhusiana na walioumwa na kugunduliwa.

Kwa kifupi, nashukuru sana serikali yetu kwka jitihada zake za kuendelea kupima kupima kupima na kutolea taarifa ili tusiishi kwa kujidanganya kama wanavyofanya Watanzania, ni bora sana kupambana na hali badala ya uishi maisha ya kujichokea na kujiaminisha vitu vya hovyoo. Corona ipo, sema kwa Tanzania imewekwa kuwa aibu kwamba hata ukiumwa inabidi uifiche na kuifanya siri ya ndani, majirani wakigundua wanakunyanyapaa, maisha ya hovyoo sana kwa kweli halafu ni sera kabisa serikalini.
Tanzania sio maskini shika adabu yako. Alafu unaposema Kenya no tajiri unamlinganisha na nani. Nano sasa kajichokea. Wenzako walishasahau hip kitu inaitwa corona na Maisha yanaendelea wewe endelea kujichosha Kwa Pima Pima tu ili kuwaridhisha mabwana zenu itafikia Siku utajielewa tu.

Kusema kweli nadhani unachanganya mambo hili la umaskini ni kwenu na kujichokea no kwwnu had I mnaingia mitaani kuandamana. Alafu hiki kiburi sijui unakaipata wapi Wakenya wenzako wanatamani waje Tanzania kujifunza we unabwata bwata huku kila Siku nonsense.
 
Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,038
2,000
Nimesema hili mara nyingi tu, ifahamike Kenya tumeamua hatutajichokea kwa umaskini kama Tanzania, muhimu sana mkafahamu corona bado haipo sana Kenya kihivyo, hii hali tukiamua kuificha kama Tanzania inafichika tu, maana vifo vyenyewe tangu corona itajwe vimefika 200 kwa miezi yote hiyo, ni idadi ya vifo ambavyo vinaweza kufichika kama tungekua nchi maskini isiyowajali watu wake, pia waliopimwa na kukutwa nacho mpaka sasa ni 15,601 na wengi kati yao hawana dalili, ni ile tu walipimwa kisa waliwahi kuhusiana na walioumwa na kugunduliwa.

Kwa kifupi, nashukuru sana serikali yetu kwka jitihada zake za kuendelea kupima kupima kupima na kutolea taarifa ili tusiishi kwa kujidanganya kama wanavyofanya Watanzania, ni bora sana kupambana na hali badala ya uishi maisha ya kujichokea na kujiaminisha vitu vya hovyoo. Corona ipo, sema kwa Tanzania imewekwa kuwa aibu kwamba hata ukiumwa inabidi uifiche na kuifanya siri ya ndani, majirani wakigundua wanakunyanyapaa, maisha ya hovyoo sana kwa kweli halafu ni sera kabisa serikalini.
.
FB_IMG_1594714437666.jpeg
 
Thegame

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,246
2,000
Taarifa za waliopona mbona hutolewa kila siku, ukiwa na nia ya kufahamu zipo, waliopimwa, waliopona, waliofariki, jinsia, umri na kadhalika..... Hatuoni sababu zozote za kuficha.
Nyie endeleeni kupima mkuu!
Sisi tumeshavuka hiyo hatua!!

Sasa hata ukiwapima raia wote wa Kenya wakakutwa na corona, then ndio mnafanyaje?

Huu ugonjwa hauwezi isha Leo au kesho, ni gonjwa tutakuwa nalo siku zote, mtapima lakini utafika wakati mtaacha na ku adapt Kama Tz tulivyofanya chini ya JPM

TZ sio kwamba Hakuna corona, ipo sana, lakini sisi tumeishinda!

Umesema waliopimwa wamekutwa na virusi hawaonyeshi dalili zozote za kuumwa! Hiyo ndio Hali halisi Tz, yawezekana tukapimwa wote tukawa na virusi vya corona, lakini tumeshavishinda nguvu maisha yanaendelea.
 
Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,622
2,000
Nimesema hili mara nyingi tu, ifahamike Kenya tumeamua hatutajichokea kwa umaskini kama Tanzania, muhimu sana mkafahamu corona bado haipo sana Kenya kihivyo, hii hali tukiamua kuificha kama Tanzania inafichika tu, maana vifo vyenyewe tangu corona itajwe vimefika 200 kwa miezi yote hiyo, ni idadi ya vifo ambavyo vinaweza kufichika kama tungekua nchi maskini isiyowajali watu wake, pia waliopimwa na kukutwa nacho mpaka sasa ni 15,601 na wengi kati yao hawana dalili, ni ile tu walipimwa kisa waliwahi kuhusiana na walioumwa na kugunduliwa.

Kwa kifupi, nashukuru sana serikali yetu kwka jitihada zake za kuendelea kupima kupima kupima na kutolea taarifa ili tusiishi kwa kujidanganya kama wanavyofanya Watanzania, ni bora sana kupambana na hali badala ya uishi maisha ya kujichokea na kujiaminisha vitu vya hovyoo. Corona ipo, sema kwa Tanzania imewekwa kuwa aibu kwamba hata ukiumwa inabidi uifiche na kuifanya siri ya ndani, majirani wakigundua wanakunyanyapaa, maisha ya hovyoo sana kwa kweli halafu ni sera kabisa serikalini.
Kuwa na adabu, unaitaje nchi ya uchumi wa Kati masikini?

Mmekula lakini?
 
wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
847
1,000
Anaogopa covid-19 kuliko njaa. Qjiweke karanteen kama vp
Hama nchi nenda nchi wanazotangaza wagonjwa wa covid19. Bila shaka nchi hizo wagonjwa wao hawapati maumivu makali kama Tanzania tusiyotangaza au jinyonge usikutwe na covid19
 
wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
847
1,000
Ehe endelea so y kwengine maisha ni tata na sio Tz. Ina maana tudanganye au? Ndio ipo sasa kwani lazma kutangaza, we ukiumwa na kupona bila kutangazwa utakufa. Hapa utatangazwa ukipotea, ukipata ajali siju location nzuri wami pale tutakutangaza, ukienda kuiba benki, au nenda kituo cha polisi alafupige polisi 1 hata mtama tutakutangaza au nenda huko wanaposhabikia kovijo OTHERWISE STAY PUT ENJOY LIFE.
Kufikiri Corona ipo sana hapo Kenya na Tanzania haipo ni utahira!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom