CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,878
2,000
Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania....

Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote....

Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka kwenye midomo ya watu waliokosa tumaini. Kauli ya watu wasio ona mwanga mbele yao.....

Lakini wakati huohuo hesabu za MAJIRA na NYAKATI zinasema kinyume cha imani na maapizo yao...

Binafsi sitegemei yawe kama ya Ivory Coast miaka 7 iliyopita pale ambapo Laurent Gbagbo alikataa kata kata kukabidhi madaraka kwa mshindi halali wa Urais ndugu Allasane Outtara....

Gbagbo hakuamini kuwa ameshindwa huku yeye akiwa na polisi, NEC ya huko, "Deep State" ya huko na JW ya huko....

Hakuamini kuwa kashindwa mpaka ililazimika Umoja wa Afrika (AU) na Ule wa Mataifa (UN) kuingilia kati kwa kuleta "lifting cranes" kutoa mizigo ya mpangaji huyu mzoefu ndani ya Ikulu ya wananchi waliokwisha kuamua kwamba, ampishe mwingine waliyemchagua wenyewe...

Naogopa kuwa haya ndiyo yanayokuja Tanzania. Kwa sababu kuna kila dalili kuwa watu watang'ang'ania ndani ya majengo ya ofisi za umma immediately baada ya Oktoba 28,2020...

Naiona determination ndani ya mgombea Urais Tundu Lissu na CHADEMA. Jamaa huyu yuko tayari kwelikweli. Kozi ya miaka 3 huko Kenya na kisha Belgium siyo mchezo, siyo utani hata kidogo....

Amehitimu huyu. Yuko very determined kwa kila hali na kwa kila hatua anayochukua kwenda mbele. Iko kila dalili kuwa jiwe linaanza kuvunjwa vunjwa na kusagwa sagwa kabisa.....

Tunapenda tujue CCM na Magufuli wamejiandaaje kisaikolojia kufanya peacefully and smooth transmission of power.....

Au nao watabaki kutoamini kuwa wameshindwa, wamekataliwa hadi "lifting crane" ije kuwasaidia kuwabeba na kuwang'oa?
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102

Mada kuntu. Lissu ndo Raisi wa Tanzania kuanzia October 2020. CCM wajiandae kwa smooth transition of power kama ilivyofanyika Malawi juzijuzi. Hakuna wa kumzuia Lissu, nasema hakuna
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,758
2,000
Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania....

Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote....

Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka kwenye midomo ya watu waliokosa tumaini. Kauli ya watu wasio ona mwanga mbele yao.....

Lakini wakati huohuo hesabu za MAJIRA na NYAKATI zinasema kinyume cha imani na maapizo yao...

Binafsi sitegemei yawe kama ya Ivory Coast miaka 7 iliyopita pale ambapo Laurent Gbagbo alikataa kata kata kukabidhi madaraka kwa mshindi halali wa Urais ndugu Allasane Outtara....

Gbagbo hakuamini kuwa ameshindwa huku yeye akiwa na polisi, NEC ya huko, "Deep State" ya huko na JW ya huko....

Hakuamini kuwa kashindwa mpaka ililazimika Umoja wa Afrika (AU) na Ule wa Mataifa (UN) kuingilia kati kwa kuleta "lifting cranes" kutoa mizigo ya mpangaji huyu mzoefu ndani ya Ikulu ya wananchi waliokwisha kuamua kwamba, ampishe mwingine waliyemchagua wenyewe...

Naogopa kuwa haya ndiyo yanayokuja Tanzania. Kwa sababu kuna kila dalili kuwa watu watang'ang'ania ndani ya majengo ya ofisi za umma immediately baada ya Oktoba 28,2020...

Naiona determination ndani ya mgombea Urais Tundu Lissu na CHADEMA. Jamaa huyu yuko tayari kwelikweli. Kozi ya miaka 3 huko Kenya na kisha Belgium siyo mchezo, siyo utani hata kidogo....

Amehitimu huyu. Yuko very determined kwa kila hali na kwa kila hatua anayochukua kwenda mbele. Iko kila dalili kuwa jiwe linaanza kuvunjwa vunjwa na kusagwa sagwa kabisa.....

Tunapenda tujue CCM na Magufuli wamejiandaaje kisaikolojia kufanya peacefully and smooth transmission of power.....

Au nao watabaki kutoamini kuwa wameshindwa, wamekataliwa hadi "lifting crane" ije kuwasaidia kuwabeba na kuwang'oa?
Kama hawajipendi wang'ang'anie kiti, uzuri Kikwete alishawaambia wasitegemee mbereko ya polisi
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,878
2,000
Sijaona mgombea wa kumzidi Magufuli usitupotezee muda kujadili

Swali ni hili;

Unadhani CCM na Magufuli wamejiandaaje kisaikolojia kukabidhi ofisi kuu ya umma wa Watanzania kwa Amani na kwa Ulaini tu kwa mshindi?

Au mpaka kwa "kijiko" cha Bulldozer kije kuwanyanyua juu kwa juu? Haa haa haa....hii dunia ni ya ajabu sana....

Yaani kufumba na kufumba inaweza kugeuka na kuwa kinyume chako huku ukiwa umepigwa na butwaa ama bumbuazi ya macho....!
 
St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,669
2,000
Yaani mwaka huu uje UKAWA tena halafu mgombea urais awe Tundu Lissu waziri mkuu Membe na mgombea mwenza Mazrui. Namuona mpiga push up akitokwa na ushuzi mwembamba🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom