johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.
Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter
Maendeleo hayana vyama!