Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,554
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au?

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe,
Hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao wala kutoa hifadhi wa wakimbizi kutoka kwao.

imgres.jpg

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
 
Maana naona ni kama Waziki Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja, na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwasababu ya Korona au hawakuona unuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame
nao wamegoma??

Nakumbuka alipokufa Moi Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au.

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe, hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao

View attachment 1519387

Kwa heri mzee baba Watanzania tunatosha.
Mupe...muruke...?!!

Jr
 
Haya ni mawazo yako, ushirikiano kati ya nchi na nchi ni jambo kubwa kuliko msiba. Hivi mtu kama ametuma salamu za rambirambi na kupepea bendera ya nchi yake nusu mlingoti kwa siku tatu bado haitoshi tu?
 
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au.

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe, hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
counterpart wao kahudhuria msiba nchi gani?
tuanze na hapo kwanza...
 
Back
Top Bottom