Uchaguzi 2020 Sioni upinzani wa Tanzania kuchukua Nchi Oktoba 2020

peter msuku

Member
Nov 26, 2017
7
5
Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu haujajipanga.

Najaribu kuangalia hoja ya ushirikiano iliyoletwa na Maalim Seif kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA, nimegundua kila kiongozi anatetea maslai yake binafsi.

Maalim Seif anaomba ushirikiano kwa sababu CHADEMA wamemuweka mgombea urais Zanzibar na hivyo kama kukitokea mashirikiano Zanzibar kivyovyote vile ataachiwa Maalim Seif apeerushe bendera.

Mziki utakuja bara, je Bernard Membe atakubali kumuachia Tundu Lissu kiti?

Amewahi kunukuliwa mkuu wa mkoa wa Iringa bwana Ally Happi akisema " Membe anaumwa Urais, anafanya Kila njia aingie kwenye kinyang'anyiro"

Toka CHADEMA imtangaze mgombea wake wa urais hajasikika popote Membe akiomba mashirikiano na chama hicho na hii ni kwasababu maslahi yake binafsi nayaenda kuvulugika.
All and all.

Naona muunganiko wa CHADEMAna ACT-Wazalendo, bila kusahau asilimia 90 ya wanachama wa ACT-Wazalendo wametoka CHADEMA.

SIONI NGUVU YA 2015
 
Mkuu habari za hapo Geita
Kama kura una piga wewe na familia yako tuu, hapo sawa.. Ila na sisi ni wapiga kura. Waambie dola ituachie huu mzki tucheze sisi. Wao wakae kando. Ccm saa nne asubuhi watakuwa kifo cha mende. Kwani ni lini Ccm mlishinda kihalali bila nguvu ya dola??
 
Back
Top Bottom