nchi

  1. G Sam

    Kauli hii "Wakimaliza kujifungia watakuwa na njaa, tujitolee kuwasaidia" si kauli ya kiongozi aliyekomaa. Inaweza kuleta hujuma kwa nchi!

    Kusema kweli hii ni kauli mbaya kuzungumzwa na kiongozi wa nchi kwenda kwa nchi majirani zake ambao wanakabiliana na matatizo. Ni kauli ya kuharibu na kuleta hujuma kwa nchi. Ndugu Rais, unapotamka jua kuwa wewe ni Rais wa nchi. Hilo lazima ulielewe hivyo umakini unahitajika sana kwenye...
  2. Erythrocyte

    Watanzania wengi wanatamani wawe raia wa nchi zinazopambana na Corona kwa dhati ili kuwa na uhakika wa kuishi

    Hili jambo limenishangaza sana ! wananchi wengi wamejiridhisha kwamba nchi yetu haipambani na corona kwa dhati kama nchi nyingine zote duniani , Tumeshuhudia pia juhudi za viongozi kutaka kuwaaminisha wananchi kwamba corona kwa Tanzania ni jambo jepesi tu . Bali kinachoshangaza wananchi ni...
  3. Viol

    TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa . TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike. Mkurugenzi wa TAKUKURU...
  4. U

    WHO wanaposisitiza nchi zitoe takwimu badala ya dawa ya Corona nayo ni Siasa ya Dunia

    Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo tangu siku nyingi kitu kinacholeta ukweli kwamba tayari wanasayansi walikwishafanyia utafiti siku...
  5. Nigrastratatract nerve

    Wapinzani tusimame pamoja kwenye miradi ya nchi tuikosoe Serikali inapokosea

    Tuungane pamoja kuiombea na kuitetea miradi mikubwa kama: SGR STIGLERS GORGE MIUNDOMINU UMEME MAJI HOSPITALI SHULE Na miradi mingine mikubwa kama: Ubungo Interchange. Salender Bridge Busisi Bridge Meli nk Tukiendelea kuipinga serikali hata kwenye mambo ya maana matokeo yake inatumia nguvu ya...
  6. Superbug

    Je, mwanasiasa anayepewa kinga na ya kutoshtakiwa na Katiba ya nchi yake anaweza kushtakiwa kwenye nchi nyingine akistaafu?

    Wanaojua sheria za kimataifa hivi mfano Mimi ni rais halafu kwa sheria zetu ninakinga ya kutoshtakiwa kwa Mambo niliyoyafanya nikiwa madarakani. Je, siku nikiondoka madarakani halafu nikaenda India kutibiwa kwa mfano? Je, wanaonitafuta wanaweza kunifungulia mashtaka nikiwa kwenye ardhi ya...
  7. J

    Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

    Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC. Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya...
  8. Chagu wa Malunde

    Tanzania sio landlocked country. Ni nchi ambayo Mungu amebariki kwa kila kitu

    Ni jambo ambalo sio jema watu kutaka kuutumia huu ugonjwa kutaka kupata umaarufu wa kisiasa. WHO ilishatoa muongozo wa namna kila nchi itapambana vipi na huu ugonjwa kulingana na uchumi wake. Jambo la msingi ni kuzingatia misingi inayotakiwa kujilinda na huu ugonjwa.Kama kuvaa mask kila...
  9. Chief Kabikula

    Spika Ndugai hii nchi siyo yako fuata Sheria na Katiba

    Siku za hivi karibuni spika Ndugai ameonekana akitoa maamuzi yanayoenda kinyume Cha sheria na Katiba ya nchi Hasa kuhusu ubunge wa Cecil Mwambe na Wabunge waliofukuzwa jana na Chadema Anthony Komu,Wilfred Lwakatale, David Silinde na Joseph Selasini.Jana kabla hajapokea document yoyote ya chama...
  10. K

    Rais Magufuli eleza sababu zako kwa nchi jirani sio kuwakwepa

    Kwenye suala la Corona hakuna aliyeleta huu ugojwa. Nashangaa Raisi wetu kuwakwepa marafiki zake kama Odinga na majirani zetu kama Kagame, Musevi , Kenyatta na hata raisi wa Zambia kiasi cha kuanza kufungiana mipaka. Kwnye Corona hakuna jibu zuri lakini ni bora ueleze sababu zako ili...
  11. FRANCIS DA DON

    Baadhi ya nchi zilizoweka lockdown na kisha baada ya kuondoa, visa vya Corona vimeongezeka kwa kasi, inatufundisha nini juu ya busara za Rais wetu?

    Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi...
  12. S

    Nielewesheni; Magufuli alisema hatutafanya lockdown kwani nchi jirani zinategemea bandari zetu, nchi jirani zinazuia magari toka kwetu kuiingia kwao!

    Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo. Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
  13. FRANCIS DA DON

    Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

    Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu. Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
  14. technically

    Aisee Hii Nchi kupata maendeleo itakuwa ngumu sana

    Type ya watu kama Mrema eti bado wapo kwenye siasa toka miaka ya 70, Mtu kama Mbatia Mwanaume unachaguliwa viti maalumu, Mtu kama Seif bado anataka kugombea urais kwa mara ya 5 zanzibar! now kakinyakua ACT. Mtu kama sumaye anataka cheo Magufuli akishinda urais 2020! Mbowe ameng'ang'ania...
  15. Wakulonga

    Soko la dunia lipo nchi gani

    Habari wana JF Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu ==== Majibu
  16. simplemind

    Hatimaye nchi jiarani kupokea mizigo /transhipment Naivasha

    Nchi jirani za Uganda ,Rwanda ,Burundi, Sudan Kusini, Congo zitapokea mizigo Naivasha inland container depot baada ya kusafirishwa zaidi ya 600 km kwa SGR kutoka Mombasa. Mtihani mkubwa kwa bandari ya Dar es Saalam. ====== SGR moves regional cargo to Naivasha Kenya has launched direct SGR...
  17. K

    Nchi zetu zitoe shinikizo China isamehe madeni yake

    Yaani nchi za Africa zimezoea kulaumu nchi za west mpaka kwenye Corona. Tunaomba world bank itusamehe makosa yetu lakini kwanini mikopo ya China haionholewi. Tanzania mikopo mingi ya China moja wapo ni ule wa $1.3B bomba la gesi ambalo halitumiki vizuri. Kawanini tusiombe punguzo huko wakati...
  18. Parabora

    Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

    Kama nilivoahidi toka mwanzo kipindi hiki ambacho nipo lock-down nitakuwa na-share hapa taarifa mbalimbali za baadhi ya nchi nilizowahi kuishi na kufanya kazi ili kwa wale walio na ndoto za kufika wapate japo ufahamu kidogo kuhusu hizo nchi na fursa mbalimbali zinazopatikana katika mataifa hayo...
  19. Nigrastratatract nerve

    Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

    "Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
  20. G Sam

    Hii nchi Mungu tusaidie: Spika anaita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari arudi bungeni, Rais anaenda kuchukua dawa ambayo haijathibitishwa watu wanywe

    Hii nchi imejikuta kwa miaka mitano hii ni vurugu tupu. Yani kama kuna mtu alikufa 2014 halafu akafufuka 2020 kisha akahadithiwa yaliyotokea atastaajabu. Imagine spika wa bunge alivyo amemuita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari yake ili arudi bungeni. Mbunge alikabidhi kadi ya chama kilichomdhamini...
Back
Top Bottom