nchi

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Hivi UN inashindwa nini kuitambua Palestina kama nchi huru?

    Nimekaa nikawaza sana ila sijapata jibu mpka sasa. Israel inatambulika kimataifa,kwanini Palestina haitambuliki kimataifa? Mpaka sasa bado sijaona faida ya UN mpaka sasa,hakuna mgogoro UN imeweza kuuthibiti kama mlezi wa dunia, kwanini isitambue Palestina kama nchi huru, iwe na jeshi lake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Marais waliopita katika nchi mbalimbali za Afrika waliokuwa na misimamo thabiti isiyoyumbishwa!

    Wa kwanza ni Nkwame Nkrumah wa Ghana!! Mabeberu hawana hamu naye! Alipigania uhuru wa Afrika na kukataa kuburuzwa na mabeberu!! Ni alama ya kwanza kwa mashujaa wa Afrika. Karibuni tuendeleze orodha! Nkrumah defined his belief system as "the ideology of a New Africa, independent and absolutely...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaposhindana kuijua Biblia na Koran badala ya Katiba na Sera za Nchi

    Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

    Habari za leo wakuu, Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu. Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani? Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana. Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wabunge ndio maadui Wakwanza wa Maendeleo yetu na wanatunyonya

    Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani. Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi inahitaji utekelezaji, ziara tulishazichoka au ni kupoteza muda

    Serikali ya CCM imekuja na style mpya ya wakuu waliomo serikalini au tuseme serikali iliyoundwa na CCM inastyle ya kupanga ziara ,mkae mkielewa hakuna cha ziara wala matembezi ni namna ya kula hela kwa njia ya kulipana posho. Wananchi wanahitaji maendeleo mambo ya ziara yamepitwa na wakati...
  8. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

    Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi? Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje? Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi? Nawasilisha
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Inteligensia ya Polisi kutoana viashiria vya ualifu kwenye Mikutano ya Chadema kinanifanya niamini nchi ipo salama

    Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo kupelekea ma OCD kusitisha kufanyika kwa mikutano hiyo. Toka tarehe 17/03/2021 hali ya Usalama...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
  11. chakii

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    .
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

    Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi Kama ni Gwanda...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Habari wana JF, Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda. Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo. Nchi hii bado ni...
  15. Shadow7

    JamiiForums Tanzania WHO: Dozi za Corona zilizotolewa mpaka sasa nchi tajiri 44 %, mataifa maskini 0.4%

    Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, limesema nchi tajiri kiviwanda za kundi la G7 zina uwezo wa kutoa dozi milioni 100 za chanjo ya Corona kwa nchi maskini mwezi Juni na Julai pekee kusaidia kufikia malengo ya utoaji chanjo duniani kote katika mkutano wao wa kilele wiki hii. Mkuu wa WHO Tedros...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Changamoto za Utawala bora kwenye Nchi zinazoendelea

    Kuchelewa kwa maamuzi ya Kimahakama Kuharamishwa kwa shughuli za Kisiasa Kutokuwa na Ushirikiano kati ya Asasi za Kiraia na Serikali
  17. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukilewa unakua na Confidence sio ya nchi hii

    Wakuu mi sijawahi lewa last time 2012 Castle Lite. Leo nimeshtua vijiglass kidogo vya St Anne. Aisee nimepata confidence sio kitoto. Kwanza nimecheza sana, pili nimepiga story na strangers wengi ambao nikiwa sijalewa siwezi kabisa, hafu bado nipo fit ndio maana ata huu uzi nimeandika fresh...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi yetu hairuhusu watu kulipwa kwa Paypal? Kuna sababu gani ya msingi?

    Wandugu kwanini Tanzania hawaruhusu watu kupokea malipo kwa Paypal, njia rahisi kabisa? Siku hizi kuna kazi nyingi sana mtu unaweza kufanya mtandaoni. Ni wewe tu na bando lako na simu yako au Kompyuta yao. Unaweza kufanya kazi ipo US au kokote duniani. Na njia rahisi ya malipo ni kupitia...
  20. Baby Nimah

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

    Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma, Jf kuna wa somi wengi na...
Back
Top Bottom