Kama mnawajua watajeni majina yao ,ndio mtawafahamu ni akina nanni na wanahusiana ni ndugu au watoto wa wakuu wakuu ,nyie andikeni majina yao hapa ,mtazidi kuzinduka.
Kulingana na data za world Bank.
Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania.
Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake.
Nini chanzo cha...
Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na huenda ama Wakasalitiana au hata tu Kuumizana kwa Kumalizana.
Natabiri tu Msiba nchini 2022 au 2024.
BILA UVAMIZI TUTAENDELEA KUKOPA MPAKA TUUZE HII NCHI!
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Tutaendelea kushikana Uchawi hapa mpaka Kiama. Akija Rais huyu utasikia oooh huyu Mzanzibar, nikija Taikon kuwa Rais utasikia oooh! Huyu sio Mtanzania ni msomali. Akija Rais kutoka Mbeya utasikia oooh huyu ni...
Wakati wa jpm nchi ilikuwa imeparaganyika watu wakabaki wanaogopa tu wale wasiojulikana na yeye mwenyewe akqbaki anawinda wanaomkosoa ili wauawe au wapewe makesi ya ajabu.
Sasa nchi imetulia tuliii na watu wameanza kupumua na kutoa ya moyoni yaliyokuwa yanawasibu Mana kipindi kile kulikuwa...
Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA
Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo...
Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira:
Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri.
Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika...
Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi.
By Zitto kupitia twitter:
"Wengi wakisikia UAE na maendeleo yake makubwa wanadhani ni sababu ya Mafuta na Gesi Asilia. Lakini ukitazama Mauzo Nje ya...
Kufuatia ongezeko la visa vipya vya maambukizi, nchi zimeweka taratibu mbalimbali kwa wasafiri kuingia na kutoka ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19
"Taratibu hizi ni pamoja na kuweka sharti la kupima COVID-19 ili kupunguza au kuzuia kuingia kwa ugonjwa huu katika nchi hizo"...
Habari Wakuu!
Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii.
Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania?
Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
Ndugu wanajf,
Sisi wakulima tujulishane mwenendo wa bei ya mahindi kila kona ya nchi, ili kujua wapi soko zuri lipo.
Arusha na Mwanza bei ikoje kwa gunia la kg 100?
tf
Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure.
Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
Yaani ukiambiwa kuna ugonjwa unaosumbua baadhi ya watanzania hasa wanaccm ni kutamini kua nchi iko katika seasoni mpya kabisa, tena ni ugonjwa mbaya huu zaidi kuliko hata UVIKO-19.
Tuna binadamu wana roho za kinyama zisizo na huruma eti wanajifanya wao ndio wanaumia kwa sasa. Kamwe hamtaweza...
Gazeti la New York Times la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti inayoema, katika miaka ya hivi karibuni, operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika Mashariki ya Kati zimesababisha idadi kubwa ya vifo vya raia wasio na hatia. Serikali ya Marekani imekuwa ikipuuza hasara za raia zinazosababishwa...
wakati mimi nalalamika bei ya mafuta ya kula kufikia 7500 kwa lita kumbe kuna watu wanachezea hela namna hii,
hawa naona wameamua kuanzisha derby
Hakika tumerudi zama za mbuzi kunyweshwa bia
BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA
Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni...
Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe.
Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
Katika siku ambayo Bunge la Marekani liliidhinisha uteuzi wa balozi mpya nchini China, serikali ya nchi hiyo kama kawaida yake ilitangaza kuziwekea vikwazo kampuni 34 za teknolojia za China kwa kisingizio cha “kutishia usalama wa taifa”, na kuziweka kampuni nyingine 8 za China kwenye “orodha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.