Kumbe nchi kuwa na amani inamaanisha upigaji bila wasiwasi!

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,326
5,559
Ndugu wanajamvi,, kumekuwa n amsemo maarfu kuwa nchi sasa inaamani katika utawala wa Samia basi mie nikajua ni amani ya kutulia bila kugopa vitisho.

Kumbe watu wa serikalini na wafanyabiashara wakubwa au wanasiasa wakisema hivyo basi wanamaanisha tofuati.

Nimefuatilia watu wazito nilioongea nao wakasema ammana yao ni kwamba angalau sasa kili kazi ikipita mikononi mwao angalau wanauhakika wa kupata kitu kinachoitwa asante.

Wengine wameenda zaidi wakasema sasa wameachia uhuru wa kutekeleza kazi na hapo ndo wanajipigia vizuri na maisha yamerudi vizuri.

Upande wa wawafany abishara wakubwa wamesema sasa wanalipa kile wanachokifikiria kiende serikalini na kingine wanawakatia wasimamia mapato ili waendelee kuwalinda.

Ndo maana wafanya kazi wa serikalini anu wafanya biashara wakubwa wanapenda msemo huu wa kuwa sasa kunamani na upendo.

HONGERENI KWA KUENDELEA KUPIGA HERA ZA WADANGANYIKA
 
Na wewe ukipata nafasi ifanyie kazi
Pic%20Layer_202111241813110.jpg
 
Back
Top Bottom