Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,912
Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa.

Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye lengo la kuliponya Taifa.

Ikumbukwe kwamba Bandari ya Dar es Salaam, inahudumia zaidi ya asilimia tisini ya biashara za kimataifa kwa taifa letu.

Bandari hiyo hiyo ya Dar inahudumia nchi nyingine sita ambazo zimelizunguka taifa letu ikiwa ni pamoja na Rwanda, Burundi, DRC, Malawi, Zambia na Uganda.

China ni moja wapo ya Nchi zilizoweka nia ya kujenga bandari ya kisasa pale bagamoyo.

Bandari hii itakuwa na uwezo wa kupokea meli kubwa na itakuwa na vifaa vya kisasa kabisa hivyo kuifanya Bandari hii kuwa ya kipekee katika ukanda huu.

Nchi yetu inategemea sana mapato yatokanayo na bidhaa zinazopitia katika bandari yetu.

Kwa mwaka 2018 pekee, China na Tanzania zilifanya biashara ya kiasi cha dola za kimarekani 1.8 Bilioni sawa na Shilingi za kitanzania Trilioni Mbili.

China hiyo hiyo inafanya bishara ya Mabilioni ya Dola kwa nchi zinazozunguka Tanzania na kuitegemea Bandari yetu.

Inasemekana kwamba China watatoa fedha za mkopo ili kujenga bandari hiyo kiasi cha Dola Bilioni 10 za Kimarekani na ili kurejesha mkopo huo Bandari hiyo itakuwa chini ya uangalizi wao kwa miaka 100.

Kama hilo likitokea inamaana kwamba asilimia kubwa ya mapato yatayopatikana na Bandari hiyo yatakwenda kwao ili kulipa deni.

Kwakua China ni mdau mkubwa wa biashara na Tanzania, Kila bidhaa itayoagizwa toka china kuja Tanzania lazima itapitia Bagamoyo.

Automatically ile Biashara ya Dola Bilioni 1.8 inahamia Bagamoyo toka Bandari ya Dar. Na mapato toka nchi za DRC, Zambia , Malawi, Uganda, Burundi na Rwanda.

sitaki kuamini kwamba China atakua mwaminifu sana katika kuweka mapato ya Bandari ya Bagamoyo na kwakua historia ni shahidi tumekuwa na watu ambao sio waaminifu wanaoshirikiana na wageni katika kulitia hasara Taifa, hivyo hakuna namna tutaubiwa tu.

Kwakua bandari ya Dar itakuwa ndogo, yenye vifaa dhaifu na vya zamani hakuna atayepeleka mizigo pale, wote watahamia Bagamoyo.

Na kwakua hatutakua tunaingiza mapato, hivyo hatutaweza kulipa deni na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa wakati, jambo litakalowafanya wachina waextend muda wa kuendelea kuishikilia bandari ili walipe deni lao, jambo hili litaendelea milele.

Hivyo tutakuwa tumepoteza bandari na mapato na bado tunadaiwa.

Mkuu, CDF, Nakuomba sana wewe pamoja na makamanda wengine, mumshauri vyema Rais ili bandari hii isijengwe kwani ni hatari kwa uhai wa Taifa.

Ni hayo tu.
 
Then wachina waishikilie hiyo bandari kwa miaka 100, kama hii ni kweli basi Tanzania ni taifa la ajabu sana kuwahi kutokea hapa duniani.

Muhimu huo mkataba wa hiyo bandari uwekwe wazi kila kitu kijulikane, hii biashara ya kufanya mikataba siri ndio inaliangamiza hili taifa lililojaa viongozi walafi.
 
Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa.

Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye lengo la kuliponya Taifa.

Ikumbukwe kwamba Bandari ya Dar es Salaam, inahudumia zaidi ya asilimia tisini ya biashara za kimataifa kwa taifa letu.

Bandari hiyo hiyo ya Dar inahudumia nchi nyingine sita ambazo zimelizunguka taifa letu ikiwa ni pamoja na Rwanda, Burundi, DRC, Malawi, Zambia na Uganda.

China ni moja wapo ya Nchi zilizoweka nia ya kujenga bandari ya kisasa pale bagamoyo.

Bandari hii itakuwa na uwezo wa kupokea meli kubwa na itakuwa na vifaa vya kisasa kabisa hivyo kuifanya Bandari hii kuwa ya kipekee katika ukanda huu.

Nchi yetu inategemea sana mapato yatokanayo na bidhaa zinazopitia katika bandari yetu.

Kwa mwaka 2018 pekee, China na Tanzania zilifanya biashara ya kiasi cha dola za kimarekani 1.8 Bilioni sawa na Shilingi za kitanzania Trilioni Mbili.

China hiyo hiyo inafanya bishara ya Mabilioni ya Dola kwa nchi zinazozunguka Tanzania na kuitegemea Bandari yetu.

Inasemekana kwamba China watatoa fedha za mkopo ili kujenga bandari hiyo kiasi cha Dola Bilioni 10 za Kimarekani na ili kurejesha mkopo huo Bandari hiyo itakuwa chini ya uangalizi wao kwa miaka 100.

Kama hilo likitokea inamaana kwamba asilimia kubwa ya mapato yatayopatikana na Bandari hiyo yatakwenda kwao ili kulipa deni.

Kwakua China ni mdau mkubwa wa biashara na Tanzania, Kila bidhaa itayoagizwa toka china kuja Tanzania lazima itapitia Bagamoyo.

Automatically ile Biashara ya Dola Bilioni 1.8 inahamia Bagamoyo toka Bandari ya Dar. Na mapato toka nchi za DRC, Zambia , Malawi, Uganda, Burundi na Rwanda.

sitaki kuamini kwamba China atakua mwaminifu sana katika kuweka mapato ya Bandari ya Bagamoyo na kwakua historia ni shahidi tumekuwa na watu ambao sio waaminifu wanaoshirikiana na wageni katika kulitia hasara Taifa, hivyo hakuna namna tutaubiwa tu.

Kwakua bandari ya Dar itakuwa ndogo, yenye vifaa dhaifu na vya zamani hakuna atayepeleka mizigo pale, wote watahamia Bagamoyo.

Na kwakua hatutakua tunaingiza mapato, hivyo hatutaweza kulipa deni na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa wakati, jambo litakalowafanya wachina waextend muda wa kuendelea kuishikilia bandari ili walipe deni lao, jambo hili litaendelea milele.

Hivyo tutakuwa tumepoteza bandari na mapato na bado tunadaiwa.

Mkuu, CDF, Nakuomba sana wewe pamoja na makamanda wengine, mumshauri vyema Rais ili bandari hii isijengwe kwani ni hatari kwa uhai wa Taifa.

Ni hayo tu.
Leo anazindua maboresho ya Gati 0-7 Bandarini Dar sasa maboresho yamefanyika yakutosha ila nina ushahidi wa wazi kabisa Scanner zimeshaharibiwa na Wahuni ili wapitishe mizigo yao, kazi kwake alete vifaa vya kisasa na adhibiti vya kutosha.

Bandari ya Bagamoyo si kufa na kupona maana tuna Bandari ya Mtwara ambayo inasimamia Southern zone yote mpaka Malawi huko Liganga na Mchuchuma yote nayo ilishaboreshwa apeleke vifaa tu vya kisasa.

Tunayo Bandari ya Dar inasimamia Central zone yote na gati ziko tayari kupokea mimeli mikubwa sasa apeleke vifaa vya kisasa tu.

Tunayo Bandari Tanga inasimamia Northern Zone bado inaendelea kuboreshwa muhimu aongeze juhudi tu, kuja kwa Bandari ya Bagomoyo lazima kuaathiri Bandari zetu ambazo kipato chake kinaingia direct kwetu na hasa Bandari ya Tanga na Dar hivo ajiandae tu.
 
Hakuna cha kushirikia kwa miaka 100 hapo nadhani itakua kama agreement sema mnufaika mkuu atakua china.

Tuwaache serikali kwa ushirikiano wa wachina wajenge bandari. Bagamoyo nayo iongeze mapato. Tupunguze na foleni hapa dar es salaam
 
Basi itaenda kujengwa chato kwa magufuli,
 
Maboresho ya Gati yanazinduliwa?!

Mngetumia energy hii hii kushauri Rais asijenge Uwanja wa Ndege pale Chato ingependeza.
 
Unateseka ukiwa wapi wewe MATANGA? Tulia sindano ikuingie ili upate nafuu
 
Back
Top Bottom