Maajabu ya nchi za Afrika

Omutontozi

Senior Member
Nov 12, 2021
122
213
Tanzania iko tayari kuzuia bidhaa za Kenya, Uganda nk, hivyo hivyo Kenya yuko tayari kuzuia bidhaa za Tanzania lakini nchi hizo haziko tayari kuzuia bidhaa za China.

Yaani bora Mchina kuliko jirani yako? Roho za kiafrika za kutotaka jirani afanikiwe zinatumaliza yaani tuko tayari kujenga uchumi wa china kuliko uchumi wetu wa kikanda? Waafrika tumerogwa si bure, Bidhaa za china zimetapakaa katika Nchi zetu na hazina Vikwazo ila badhaa kutoka nchi jarani vikwazo kibao.
 
Tanzania iko tyr kuzuia bidhaa za kenya,uganda nk,,hivo hivo kenya yuko tyr kuzuia bidhaa za Tz.Lkn nchi hizo haziko tyr kuzuia bidhaa za China yaani bora mchina kuliko jirani yako.
Kweli mkuu ninakubaliana nawe kwa hoja hii,ni rahisi mno kuingiza maziwa ya unga ya watoto kutoka China kuliko ya S.A. au Kenya ambayo yana ubora mkubwa kuliko ya China
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom